Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

duu hii kaz inaelekea kunishinda, nihamie tu forex. akuna kitu kinauma unaeka over inatoa Under ukiweka under inatoa over[emoji3][emoji3].hela nloliwa n
zaid ya millon.
 
Daah basketball bhana yaani kikapu kimoja tu kinaamua ushindi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…