Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

WAKUU HABARI ZA SAA IZI SAMAHANINI NINAOMBENI MSAADA WENU KWA HILI LIFUATALO.

Nimekwenda tofauti na mmoja wetu humu ktk huu uzi maarufu kama Etoo43 tulisha wasiliana b4 kuhusu kupata laini ya Safsricom ila nilipoteza simu na namba yake pia.. Nadhan hata ndugu Mhakiki nilikuja mtafuta uku anipatie tena namba yake..nilipo poteza cm na wakat huo sijakua na ile pesa ya laini..jana nika pata namba zake tena baada ya kuzitafuta..na leo tena nika mtafuta ili kesho nikachukue iyo Laini niliomba depreciation kama ingekuepo..ila alisema zime panda nime accept kwa bei aloitaja.. ktk kuwasiliana mm na yeye naweza sema kuna pahala nili andika nikamkosea bila kukusudia na wala haikua nia yangu kauli ambayo amenifikishia na kunifanya nije omba radhi mbele ya wadau ktk uzi huu ni.."sifanyi biashara na Wababaishaji"nimekiri kama nimakosa sie binadam tuna kosea..na tumeumbiwa kukosea kilicho tokea nikwamba bro Etoo43 still adi sasa hajibu sms wala coll apokei..Naomba anisamehe na tuendelee na biashara ni hayo tu ndugu zangu..naamini mtanisaidia kwa bro anisamehe...

NIHAYO TU NDUGUZANGU.
Pole chunga kauli siku ingine.. Sio kila mtu ni m'babaishaji.. Wengine wanajielewa na wanajua nin wanachofanya.. Naamini Etoo ni mwelewa sana na ameshakusamehe..
 
WAKUU HABARI ZA SAA IZI SAMAHANINI NINAOMBENI MSAADA WENU KWA HILI LIFUATALO.

Nimekwenda tofauti na mmoja wetu humu ktk huu uzi maarufu kama Etoo43 tulisha wasiliana b4 kuhusu kupata laini ya Safsricom ila nilipoteza simu na namba yake pia.. Nadhan hata ndugu Mhakiki nilikuja mtafuta uku anipatie tena namba yake..nilipo poteza cm na wakat huo sijakua na ile pesa ya laini..jana nika pata namba zake tena baada ya kuzitafuta..na leo tena nika mtafuta ili kesho nikachukue iyo Laini niliomba depreciation kama ingekuepo..ila alisema zime panda nime accept kwa bei aloitaja.. ktk kuwasiliana mm na yeye naweza sema kuna pahala nili andika nikamkosea bila kukusudia na wala haikua nia yangu kauli ambayo amenifikishia na kunifanya nije omba radhi mbele ya wadau ktk uzi huu ni.."sifanyi biashara na Wababaishaji"nimekiri kama nimakosa sie binadam tuna kosea..na tumeumbiwa kukosea kilicho tokea nikwamba bro Etoo43 still adi sasa hajibu sms wala coll apokei..Naomba anisamehe na tuendelee na biashara ni hayo tu ndugu zangu..naamini mtanisaidia kwa bro anisamehe...

NIHAYO TU NDUGUZANGU.
Dah! Uliongea bad mkuu
 
Pale unapoamka na kukuta supu ya kuku wa kienyeji. Tuendelee kupiga kazi

1119155

1119156
 
....!!!
 
Uungana wa hali ya juu
 
Wakuu kutoa mpunga kwa safaricom njia ya mobile payment haipo......naanza kupata waswas
 
Back
Top Bottom