Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

1117715

basket walau inatabirika
 
Mkuu, itakuwa unabet kila tu bet iki won au lose, chakufanya ili usichoshe kichwa, ukupata odds yako maybe 1.45 weka pesa kubwa kubwa ambayo ukila tu inatosha ata kupumzika.

Mm nahakikisha ikiwon tu, inatosha kutoa kwa wakala. Sichoki mana nikipigwa moja navuta pumzi ndefu nasubiri badae tena.
Shukrani mkuu kwa wazo hili ulilionipa.itanibd nibadilishe strategies kwa kweli mana kuna kaupepo nakaoteaga sana hlf gafla tu kananigeuka..itanibd niwe mwepes kuzitoa
 
Watu wa Dar es salaam mzigo mwingine wa line za Safaricom nimeuleta leo tar 5/6/2019.
Wale mlionunua juzi na Jana mbona hamleti mrejesho kwa wajumbe wengine.
Kama unahitaji unanichek WhatsApp 0719957092 nakuelekeza uje uchukue ukiwa na pesa yako mkononi.
 
Czech Republic - U19 FC Hradec Kralove - FC Vysocina Jihlava
1

Colombia - Primera A, Apertura Millonarios FC - America de Cali
1 DNB

Czech Republic - U19 FC Zbrojovka Brno - FC Pardubice
1 DNB

International - Friendlies Curacao - India
1 DNB

Colombia - Primera A, Apertura AD Pasto - U. M. Santa Marta
1 DNB
 
Back
Top Bottom