Jay Gatsby
JF-Expert Member
- Jul 28, 2017
- 697
- 928
Mkuu usisahau kunishukuru cheza hivi. View attachment 1115739
Kuna pesa hapa!
Mkuu usisahau kunishukuru cheza hivi. View attachment 1115739
Unakwama wap mkuuWakuu kikapu kinafilis hatar asikuambie mtuu...unapanda gafla, unashuka tena, unapanda, unashuka!! Siandiki mengi ila kikapu tuwe nacho makin sana hasa inplay!! Hapana, dah!! Kikapu kimenipa hela za kunisaidia mambo meng sana ila chini ya sekunde, faida unapata sana na chini ya sekund hyhy, unaanza kulinda mtaji...kinanichosha ila hela napata!!
Kama ulikumbuka poa.Mkuu usisahau kunishukuru cheza hivi. View attachment 1115739
Mkuu, itakuwa unabet kila tu bet iki won au lose, chakufanya ili usichoshe kichwa, ukupata odds yako maybe 1.45 weka pesa kubwa kubwa ambayo ukila tu inatosha ata kupumzika.Wakuu kikapu kinafilis hatar asikuambie mtuu...unapanda gafla, unashuka tena, unapanda, unashuka!! Siandiki mengi ila kikapu tuwe nacho makin sana hasa inplay!! Hapana, dah!! Kikapu kimenipa hela za kunisaidia mambo meng sana ila chini ya sekunde, faida unapata sana na chini ya sekund hyhy, unaanza kulinda mtaji...kinanichosha ila hela napata!!
Mkuu nipe mechi nzuri ya kikapu yenye odd ya 1.4+ nitupie 50 leoMkuu, itakuwa unabet kila tu bet iki won au lose, chakufanya ili usichoshe kichwa, ukupata odds yako maybe 1.45 weka pesa kubwa kubwa ambayo ukila tu inatosha ata kupumzika.
Mm nahakikisha ikiwon tu, inatosha kutoa kwa wakala. Sichoki mana nikipigwa moja navuta pumzi ndefu nasubiri badae tena.
Kaweke mzigo hapoMkuu nipe mechi nzuri ya kikapu yenye odd ya 1.4+ nitupie 50 leo
Ngoja tucheki store ya leo.Mkuu nipe mechi nzuri ya kikapu yenye odd ya 1.4+ nitupie 50 leo
najaribu ku log in meridianbet inaleta ujumbe wa " your has been blocked"TUWE MAKINI WADAU TUSIJE TUKAFUNGWA KWA MAKOSA YA MONEY LAUNDERING
![]()
Wanaofanya miamala ya fedha kwa simu na benki watakiwa kutoa taarifa kabla
KANUNI mpya za kudhibiti utakatishaji fedha, zinatarajiwa kubana zaidi wanaofanya miamala kwa njia za kielektroniki ikiwamo benki na simu za mkononi. Kwa mujibu wa kanuni hizo zilizosainiwa na Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Philip Mpango, Mei 7, mwaka huu na kuchapishwa kwa umma Mei 24...www.jamiiforums.com
Hao Jamaa Sijui Ni Ugeni Lakini App Yao Sijaipenda. Ngumu Balaa!najaribu ku log in meridianbet inaleta ujumbe wa " your has been blocked"
Fanya fasta, nimeona zinalipa mkuu, hata kama itatokea mara kadhaa kudondoshaDuh! Nineipenda Bure Mkuu.
Ngoja Nicheze Na Mimi Hizi Over 0.5! Naweka 20,000!
Zinalipa Mkuu! Umaskini Wetu Ni Woga Wetu!Fanya fasta, nimeona zinalipa mkuu
Napa Nilishindwa Kujiongeza!Zinalipa Mkuu! Umaskini Wetu Ni Woga Wetu!