Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

mfano apo ipo quarter 3 na points ni 67 na ili kufika point 100 inahitaj ooint 33.unaangalia sasa quarter ya 1 had ya 3 kama zlifka hata 30 .unaanua kuweka under 100 au under 102.apo kuna uwezekano mdogo sana wa kuloose mkeka
Screenshot_20190602-140139.jpeg
 
kudadek betpawa wanachelewesha kupay out niendelee na basketball inplay
Screenshot_20190602-153617.jpeg
 
mfano apo ipo quarter 3 na points ni 67 na ili kufika point 100 inahitaj ooint 33.unaangalia sasa quarter ya 1 had ya 3 kama zlifka hata 30 .unaanua kuweka under 100 au under 102.apo kuna uwezekano mdogo sana wa kuloose mkekaView attachment 1115173

Badala ya kuhangaika na under 100 yenye odd 1.2.. kwanini nisiweke over 100 yenye odd 3+ na bado nikala?? Hii trick yako inatia wasiwasi..

IMG_9016.JPG
 
Wadau inachukua muda gani Ku withdraw hela 1xbet kwa kwenda safaricom?
 
Hizi mechi za finali mi huwa sipendi kucheza magoli maana sometimes huwa wanakamiana unakuta goli linapatikana dakika za mwisho hko,mimi personally nimetupia laki 2 kwenye mchezo wa Card under 5.5 cards liwalo na liwe..
Mkuu kikapu vipi Toronto raptors watawakazia GSW tena leo? Maoni yako tafadhali
 
Mkuu kikapu vipi Toronto raptors watawakazia GSW tena leo? Maoni yako tafadhali
Daaaa huyu GSW nataka nimwamini leo japo last time walikutan akacgezea vikapu vya kutosha sasa sijui leo kama atakubali tena japi kikosi kuangalia ni muhimu kwanza
 
Daaaa huyu GSW nataka nimwamini leo japo last time walikutan akacgezea vikapu vya kutosha sasa sijui leo kama atakubali tena japi kikosi kuangalia ni muhimu kwanza
Last time alizidiwa sana nataka kujilipua na raptors n over 213 liwalo na liwe
 
Mkuu kikapu vipi Toronto raptors watawakazia GSW tena leo? Maoni yako tafadhali

Daah hyo game ngumu sana kutabiri mshindi mkuu, maana yoyote anaweza kushinda sema kama nilazima nitaje mshindi nitasema Raptors wanashinda tena maana Game 1alishinda hvyo atakuwa na confidence na yupo Nyumbani ,but kama unataka uweke hela bora ucheze mchezo wa Over/under
 
Daah hyo game ngumu sana kutabiri mshindi mkuu, maana yoyote anaweza kushinda sema kama nilazima nitaje mshindi nitasema Raptors wanashinda tena maana Game 1 alishinda, but kama unataka uweke hela bora ucheze mchezo wa Over/under
Poa poa mkuu
 
Back
Top Bottom