Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kitendo cha Spurs Kumtoa Dortmund,Ajax, Na Man city ni wazi kuwa wako siriaz na kombe, Sparz amevuka viunzi vigumu ukilinganisha na liver.

Kila la kheri supazi

Liverpool hii ni fainali yake ya pili baada ya kutolewa na Madrid msimu uliopita, atakuwa na hasira sana pia amekosa PL kwa point chache, hvyo hii mechi kwake ni kufa na kupona, Option nzuri nayo iona mimi hapo ni Double chance kwa Liverpool au kumpa handicap ya +1
 
Umeiva ila safest option ni over 2.5 goals.
 
Jamani naombeni muongozo
Ikiwa ntabet over 1 na goli likapatikana moja tu inakuaje?
Win?
Lose?
Or refund?
Screenshot_2019-06-01-18-01-54.jpeg
 
Germany - Regionalliga West v
FC Kitzbuhel - FC Langenegg
1

Brazil - Brasileiro Serie
Ituano FC SP - Serra
1

Austria - Erste Liga
SV Ried - FC Juniors
1

Austria - Erste Liga
SV Horn - WSG Wattens
2

Brazil - Brasileiro Serie D
Gremio Recreativo Serrano PB - Bahia de Feira 2
 
Daah void mkuu kanji katawanyishaa group...[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom