Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wadau fainal ya leo mmko na maoni gani
Naona mitaani wanaona live anakufa
Kitendo cha Spurs Kumtoa Dortmund,Ajax, Na Man city ni wazi kuwa wako siriaz na kombe, Sparz amevuka viunzi vigumu ukilinganisha na liver.

Kila la kheri supazi
 
Daah ataki kukaa
IMG_20190601_164854_188.JPG
 
Kitendo cha Spurs Kumtoa Dortmund,Ajax, Na Man city ni wazi kuwa wako siriaz na kombe, Sparz amevuka viunzi vigumu ukilinganisha na liver.

Kila la kheri supazi

Hivi mnadhani Liver hayupo serious na hili kombe? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Haya endeleeni kuota mchana! Kama kweli una imani na spurs nenda kwa kanji weka laki mpe spurs direct win
 
Moja ya single ntampa spurs direct win
 
Back
Top Bottom