Ndugu kama una xbet kuna each team over 1.5 in each hafu risk ni ndogo kiliko unakowaza huko.Nataka niweke laki nimuue liverpool wakuu
Naomba ushauri kabla sijajilipua kwenye hilo booomu
Ndugu kama una xbet kuna each team over 1.5 in each hafu risk ni ndogo kiliko unakowaza huko.
Bet wonInplay
1xbet
Code: UUQGF
Haiwezekani mzee hyo hutumika kwa ajili ya manunuzi tuwapambani naomba kuuliza ktu. et kuna uwezekano wa kudepost pesa kwenye wallet ya perfect money kwa kutumia mpesa MasterCard??.
shukrani mkuuHaiwezekani mzee hyo hutumika kwa ajili ya manunuzi tu
Mechi haikuisha hii wydad waligomea kuendelea na mechi dk 62 baada ya goli lao la kusawazisha kukataliwaJana niliweka bet nikajua naamka na hela ya supu, cha ajabu nakuta CANCELLED lakini nimechungulia LIVESCORE nimeona match iliisha na ES TUNIS walibeba ndoo.
Nisaidieni mliotazama match, nini kilitokea au hawa BETPAWA wana ka utapeli?View attachment 1113585
Ok,Mechi haikuisha hii wydad waligomea kuendelea na mechi dk 62 baada ya goli lao la kusawazisha kukataliwa
Esperance walipewa ubigwa wa mezani
Utaratibu wa Betpawa OvYo sana Yaan mechi cancelled ndio wanatoa odds zote atleast wangepunguza odds imenitokea hii pia kwny mkeka wng kutoka ku win 300k mpk 100k Ovyo sanaJana niliweka bet nikajua naamka na hela ya supu, cha ajabu nakuta CANCELLED lakini nimechungulia LIVESCORE nimeona match iliisha na ES TUNIS walibeba ndoo.
Nisaidieni mliotazama match, nini kilitokea au hawa BETPAWA wana ka utapeli?View attachment 1113585
Hahahahahahahahah mkuu si hapa HahahahahahahahahNataka niweke laki nimuue liverpool wakuu
Naomba ushauri kabla sijajilipua kwenye hilo booomu
Ubingwa wa Mezani..!!?.ina maana matokeo yamefutwa...na inakuwa point tatu na magoli ya mezani sio...Mechi haikuisha hii wydad waligomea kuendelea na mechi dk 62 baada ya goli lao la kusawazisha kukataliwa
Esperance walipewa ubigwa wa mezani
Matokeo huwa ni kwa dakika 90 tu ,,kasome sera zao na mashartiUtaratibu wa Betpawa OvYo sana Yaan mechi cancelled ndio wanatoa odds zote atleast wangepunguza odds imenitokea hii pia kwny mkeka wng kutoka ku win 300k mpk 100k Ovyo sana
Ndo ivoUbingwa wa Mezani..!!?.ina maana matokeo yamefutwa...na inakuwa point tatu na magoli ya mezani sio...
Daaah hi kampuni kumbe sio kabisa ndo walewale wa Uchochoroni!Jana niliweka bet nikajua naamka na hela ya supu, cha ajabu nakuta CANCELLED lakini nimechungulia LIVESCORE nimeona match iliisha na ES TUNIS walibeba ndoo.
Nisaidieni mliotazama match, nini kilitokea au hawa BETPAWA wana ka utapeli?View attachment 1113585