Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mimi Nina mpango wa kutafuta zaidi ya milioni 400 kwa siku 20 kwa mtaji wa laki moja. Nilideposit 11500 mwezi wa kwanza nimekuja kufilisika tar 26 mwezi was NNE kwenye UEFA. Kila baada ya siku 2 nilikuwa naingia bank kuwithdraw zaidi ya laki na 33. Hill linawezekana kabisa. Kikubwa ni nidhamu, halafu usibet mechi ambazo zina attention kubwa, kuwa mtazamaji tu. Pia chagua kampuni ambayo wanaweka mechi nyiiingi sana, hakikisha option ni za win win situation.
Kwa mfano unakuta labda Simba v Azam;
Majibu uliyonayo kichwani mwako ni kuwa hii mechi magoli hayatazidi mawili, hivyo option ya pesa ni over 1.5, unaenda zako princesbet unakuta wameanzia na over 2.5. Unajipa moyo unabet kwa Shingo upande hivyo hivyo, matokeo yanatoka unakuta ni 2-0 au 1-1 sawa na hisia zako za awali.
Kwa hiyo hapa manake bookmarker amejitengenezea mazingira ya yeye kula kwa 80% halafu wewe kakuachia 20%, ni mtihani huo. Chqgua kampuni inayokupa Uhuru hadi wa over 0.5.
 
Fainal ya poch ataiona ya ajabu sana...yani klop mapema anamkalisha pochi easer sana,,kama ukileta unyumbu na hoja zako za chini ya kitanda umefel
 
IMG_8480.JPG


Hela ya supu!
 
Watumiaji wa meridian kuna anaeweza kuingia au ni mimi tu toka jana usiku
 
Msinione mbaya kuwauzia watu wa Dar na Moshi tu, hii ni kwa sababu sipendi biashara ya kutumiana pesa, watu wa Dar mtakuja wenyewe na pesa yako mkononi, unatoa pesa unavhukua line. Watu wa Moshi pia vivyo hivyo. Nategemea kufungua kituo makambako kwa watu wa kusini.
Sawa chief ngoja nijipange kisha siku nikija Dar ntafanya utaratibu wa kukutafuta.
 
Mzee baba naona siku hizi umehamia single tena mpunga mnene

Ni kweli mkuu na mafanikio yake nayaona sana, sema inabidi uwe makini sana kwenye kuchagua option nzuri ukizingatia odds na risk, hvyo ndo maana hata soka sipo sana kwasahv,nafocus zaidi kwenye kikapu.
 
Back
Top Bottom