Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mkuu nadhani nilipokuambia kua "watoto" wa Arsenal huwa hawana nidhamu ya mpira nadhani mpaka sasa utakua umenielewa vizuri!!Binafsi sikuona mchezaji serious wa kuwapa hawa Arsenal kombe, nani labda?
Iwobi anayepiga chenga zisizo na maana
Ozil cha uvivu

Kweli kocha wa hili kombe wako nae, ila je anawachezaji gani?Msimu mzima huu wao wana beki mbovu haijawahi tokea, Ebu tusubiri ila mi niliwaua Arsenal
Daah!! Hii timu nikiiamini inaniua... Nikiiua inashinda.

Ila sio siri arsenal wana timu mbovu saana.
 
Daah!! Hii timu nikiiamini inaniua... Nikiiua inashinda.

Ila sio siri arsenal wana timu mbovu saana.

Mi ndo maana Arsenal niliwaweka kwenye ban list yangu yani ni mara chache sana huwa nawaamini,nikibet mechi za Arsenal bac huwa nachagua option nyingine kama Card,Corner au magoli ila sio direct win
 
1111746


WON
 
Ila Aseno ni nyokó. 4-1

Anyway haikuwa siku mbaya

Kama ulichambua vizuri ukiachana na single 2 nilizo mpa Aseno win
Zingine zimetoa kwa asilimia kubwa sana

Ntarudia zoezi kwa final ya uefa
This time no direct win dadeq
 
Betpawa majeuri kwa wapenda in play wanachotufanyia wanaweka mechi za usiku halafu Wanapa na magoal kumbe hazijacheza .
 
sawa sawa boss. unajua inatakiwa tuwe tunajitahid kireview comments za nyuma. comments za siku zote ni namna ya kudum katka betting ndo tunaweza tukawa tunaulizana. daily
Natuma tena kwa heshima yako mkuu
 
Back
Top Bottom