Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mbona inashika tu kama kawaida mzee. Kwa kutumia huduma ya roaming service sema mtu anataka kwenye kioo chake paandikwe safaricom
Nisaidie nijue hio roaming service maana niko Arusha ila tokea nipate Hii laini sijaweza pata network Kabisa
 
Wooo
Screenshot_20190529-200255.jpeg
 
Ngoja nikupige kaswali kiongozi unijibu kwa sababu sina uelewa huo

Nikiwa na laini ya Safaricom na nipo Kilosa itakamata 3G au nitaitumia kwa minara gani maswali yangu yanaweza kuwa hayana kichwa wala miguu ila waweza kujitahidi kuyaelewa Kilosa hakuna minara ya Safaricom ipo ya Vodacom network yao nitaipataje?
roaming..... hata uende india ama china utapata network ya safaricom, voda hata airtel.. miamala ya mpesa, tigomoney na mingineyo ya hivyo utaipata
 
Habari Wana Jamii
Nimepata laini ya safaricom
Naomba msaada na ya kudeposit kwenda safaricom
 
Arsenal hii game anashinda mapema saana sababu ndio njia pekee ya kumpeleka UEFA.

Pili Unai emry hili ndio kombe ambalo ana kismati nalo saana.. Kashalichukua mara 3 akiwa Sevilla.

Chelsea hawana morali kihivyo, Eden hazard anakaribia kutimka. Ngolo kante injury, Ludiger injury, Pedro injury, loftus cheek injury. E.t.c

Kocha hapendwi na mashabiki anatimkia zake juventus wanakoonyesha kumhitaji.

Kambi nzima ya Chelsea haina morali isipokuwa arsenal yenye fowadi line Kali.

Leo arsenal anaimaliza hii game mapema sana Mkuu.

Mimi Naamini hivyo Mkuu.
Mkuu nadhani nilipokuambia kua "watoto" wa Arsenal huwa hawana nidhamu ya mpira nadhani mpaka sasa utakua umenielewa vizuri!!Binafsi sikuona mchezaji serious wa kuwapa hawa Arsenal kombe, nani labda?
Iwobi anayepiga chenga zisizo na maana
Ozil cha uvivu

Kweli kocha wa hili kombe wako nae, ila je anawachezaji gani?Msimu mzima huu wao wana beki mbovu haijawahi tokea, Ebu tusubiri ila mi niliwaua Arsenal
 
Back
Top Bottom