Mayu
JF-Expert Member
- May 11, 2010
- 8,686
- 14,373
Ndugu yangu betting haina fomula maalumWakuu kwa anaejua kubet gg na over 2.5 anisaidie tactics
Unatakiwa ku invest katika kujifunza na kuzijua ligi mbalimbali na kuzijua timu na miendelezo yako (consistency)
Ukiyajua hayo vizuri utakua kwenye nafasi nzuri ya kubashiri kwa usahihi kwa kiasi cha angalau kupatamo kafaida
Zijue ligi zenye wastani wa magoli mengi, zijue timu zenye safu kali ya washambuliaji na inayo bamiza magoli ikikutana na vibonde
Zijue timu zenye ukuta sugu na zijue zenye washambuliaji butu
Zijue historia za head to head za timu
Angalia uwezekano wa vikosi kabla ya game
Nk nk
All in all kuwa mkamalia mzuri lazma uujue vizuri mchezo unao bet na mazingira yake yote
Sorry hakuna jibu la moja kwa moja Vinginevyo ni kuotea tu