Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 72,432
- 191,751
HhhhhMsinione mbaya kuwauzia watu wa Dar na Moshi tu, hii ni kwa sababu sipendi biashara ya kutumiana pesa, watu wa Dar mtakuja wenyewe na pesa yako mkononi, unatoa pesa unavhukua line. Watu wa Moshi pia vivyo hivyo. Nategemea kufungua kituo makambako kwa watu wa kusini.