chichi pilato
Senior Member
- May 26, 2019
- 132
- 97
Mkuu hizi kashfa unaweza kuzizibitisha?Ushawaremove wameisha unatafuta mbuzi wengine uwapige
Ni nani aliyepigwa?
Na ulipigwa nini?
Mkuu hizi kashfa unaweza kuzizibitisha?Ushawaremove wameisha unatafuta mbuzi wengine uwapige
App ganiBet Kwa live BETTING ... MAGOLI ... OVER 1.5 ..... HALF WITH MORE GOAL 2H .......... double chance 12 ... Pia zingatia na Muda zile dk 90 .... Cheza Kwa kuangalia muda
App gani
Shukran kaka... Hivi bet pawa wana option ya kubet game ishaanza.... Alafu vipi wanalipa ontime au km mbet tuBetPawa Mkuu
Shukran kaka... Hivi bet pawa wana option ya kubet game ishaanza.... Alafu vipi wanalipa ontime au km mbet tu
Ontime Mkuu ... Dk 5 nyingi tu tayari
Tafuta line nyingine mkuu. Hakikisha kabla hujaondoka eneo latukio umeiweka kwenye simu na imesoma.Kwa hio nitafanyaje mkuu
Oya umemficha wapi? Void ab initiojamaa wa laki 4?
Aisee Fanya mpango na sie Wa makambako tupateVituo vipo vitatu, ubungo msewe, kisutu na kariakoo. WhatsApp 0719957092.
mzee baba shida tu ...kila siku maumivuOya umemficha wapi? Void ab initio
Ligi nyingi zimeisha..kwa hiyo wadau wana beep tu kimtindo.Humu kulikoni[emoji15] Ama vipigo vya khanji
Naomba link PM mkuuWaliomo ndani hawajutiiii kuwemo
Njoo tushirikiane kumpiga muhindi
Follow this link to join my WhatsApp group: https://chat.whatsapp.com/Db8LDis1eFnFLpa0dy5kLZ
mzee baba shida tu ...kila siku maumivu
Mi now nacheza inplay tu na nimeanza kuona matunda nachambua game 2,3 tu unasubiri tokeo la half time then nakuja kuzibetia second half odd zinapanda hadi 3 ukiwin Mara mbili unarecover loss zote