Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Substitution under 5.5.
Kama hutaki kukaa na pressure dk 90+ weka no throw in dk 1
Kiukweli nna laki moja lakini nashindwa nibeti vipi. Mara ya mwisho nilipigwa laki nikasema msimu huu sibeti tena. Leo roho hainipi natamani niweke over 0.5 first half lakini nasita tu.
 
Hizi mechi za finali mi huwa sipendi kucheza magoli maana sometimes huwa wanakamiana unakuta goli linapatikana dakika za mwisho hko,mimi personally nimetupia laki 2 kwenye mchezo wa Card under 5.5 cards liwalo na liwe..
Hii nayo ni option nzuri sanaa kuiaminia. Sioni kwangu nataka nitupie laki na mimi.
 
1114580

Substitution under 5.5.
Kama hutaki kukaa na pressure dk 90+ weka no throw in dk 1
Nimeenda na hii ndugu. Saivi ni kuangalia burudani
 
All cards in one hafu ilikuwa na odds 5.7
Game zenye tensions kubwa kama hizi mara nyingi sana 1H wanakua makini kunakua hakuna sana kadi
Labda kipindi cha pili game inakua ishapata mwelekeo wachezaji wanajiachia
 
Back
Top Bottom