Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Yangu nimepata safaricom nimeanza kuona faida ya kubeti.
Kulikuwa na opt kwenye special bet muunganiko wa final ya uropa na uefa kila team katika team zote NNE over 1 cona ktk kila kipindi odds 9... tuwe tunajitosa
 
Daah Aisee naona wakati umefika inabidi na mm nihamie 1xbet na kutafuta hyo line ya safaricom, naona napishana na pesa nyingi sana,huku nilipo sio mbaya sema 1xbet kuna chance ya kupiga mpunga mrefu sna!
 
Jitahidi mkuu upate huku mambo ni faya faya.
Daah Aisee naona wakati umefika inabidi na mm nihamie 1xbet na kutafuta hyo line ya safaricom, naona napishana na pesa nyingi sana,huku nilipo sio mbaya sema 1xbet kuna chance ya kupiga mpunga mrefu sna!
 
Germany - Regionalliga West v
FC Kitzbuhel - FC Langenegg
1

Brazil - Brasileiro Serie
Ituano FC SP - Serra
1

Austria - Erste Liga
SV Ried - FC Juniors
1

Austria - Erste Liga
SV Horn - WSG Wattens
2

Brazil - Brasileiro Serie D
Gremio Recreativo Serrano PB - Bahia de Feira 2

Kwa waliofuata
1114849
 
Finland - Ykkonen AC Oulu - Mypa
1

Germany - Oberliga NOFV North 1. FC Lok Stendal - Malchower SV
1

Estonia - Premium Liiga FC Kuressaare - FC Flora Tallinn
2

Estonia - Premium Liiga Levadia Tallinn - Paide Linnameeskond
1X

Germany - Oberliga NOFV North Tennis Borussia Berlin - FC Anker Wismar 1997
1X
 
Furaha Mchanganyiko hapa, kombe nimebeba na mikeka yote nimempiga mtaji laki 5 faida 1.34m. Tukutane AFCON kweherini aisee. Acha nilewe tu

YNWA
Hizi msg zinanipaga mizuka alafu mwisho wa siku narudi kubet ninachoambuliaga Mungu ndo anajua[emoji119][emoji119][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wazee mbona huku kumepoa sana, kwani mnakwama wapi?
pipdy mbona simuoni?
 
Wakuu wewe una xbet ma direct win ya mini? Kanji atatumaliza.
 
Back
Top Bottom