Africa Tanzania
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 1,503
- 2,276
App gani unatumia kubet kona mkuu?Nimetembea na ule wa over 1 corner each half
Tnx a million chief
App gani unatumia kubet kona mkuu?Nimetembea na ule wa over 1 corner each half
Tnx a million chief
App gani unatumia kubet kona mkuu?
Sawa mkuu, leo line zinaingia dar. Kwa siri sana unanicheki WhatsApp 0719957092 nakuelekeza kwa kwenda kuichukua. Ukiwa na pesa yako mkononi. Nashukuru mliumaliza mzigo wa wiki iliyopita, nimewaletea mzigo mpya.
Wadau nashauri muwe mnatest mitambo kule AUSTRALIA kwa option ya over 1.5 au 2.5. Kuna hela za wazi sana aisee
Jeonbuk ana umeme na nlimpa direct win. Tusaidiane kubana pumbu ili wasichomoe
Hiyo imesoma. Mrusi namrukisha kichurachura tangia jana. Ngoja niende sokoni nichukua jogoo la kienyeji wakati nikipanga mashambulizi pale CHINA kwa GUANZHOU na GUOANKaongeza goli la pili mkuu hivyo umeshinda
Hiyo imesoma. Mrusi namrukisha kichurachura tangia jana. Ngoja niende sokoni nichukua jogoo la kienyeji wakati nikipanga mashambulizi pale CHINA kwa GUANZHOU na GUOAN
HaswaaUsisahau ku-share mkuu
Follow this link to join my WhatsApp group: https://chat.whatsapp.com/JmnNDUrkxNWF4KR7WLrgpoNaomba link PM mkuu
NoHivi Artel hawana option yakutia hela kwenye 1xbet
Labda upate airtel ya Kenya.Hivi Artel hawana option yakutia hela kwenye 1xbet
wakuu niwape trick moja. ukitaka kufaidika na betting tumia 1xbet kubetia basketball inplay. kitu unachotakiwa kuzingatia ni hesabu na time management. cha kufanya unasubilia mech ikifika set ya 3 jumlisha zile points zote ukiona labda total zimefka 170 alafu kadria kwamba set ya 4 inaweza toa kat ya point 30 had 44 then jumlisha mfano 170+44=214 .ukiona umejumlisha na ukaona inaweza fika uko haya sasa nenda kwny option ya over /under chagua under 219.5 then weka mpunga. nakuhakikishien amtojutia. ila usiwe na tamaa.
aaa sory mkuu nilishazoea tennis ndo kuna set. by the way kwenye basketball naongelea quartersUmeeleweka, ila usiweke Set na Quarter kwenye kapu Moja, umenichanganya kidogo.