Hii inatakiwa iwahusu Bookies na sio wanaobetSheria mpya huko Kenya ukibeti chini ya Ksh 50 ambayo ni sawa na Tsh 1150 jela itakuhusu[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1146062View attachment 1146063
Nimefanya hivyo ila bado sms haijii mkuu.Kama una laptop download 1xbet windows app halafu jaribu kuactivate uone...
Jaribu pia app ya android na browser tofauti tofautiNimefanya hivyo ila bado sms haijii mkuu.
Vyote nimejaribu mkuu,sms bado haiji.Jaribu pia app ya android na browser tofauti tofauti
Hahahaaa hawa watu wanachekesha sana..Mtu tu kuplace buku inamshinda sa mkimpiga not less 5M si mtamuua kweli..Hii inatakiwa iwahusu Bookies na sio wanaobet
Bookies wote waamriwe kuweka minimum stake inayotakiwa biashara kwisha
😂😂😂😂😂😂Wazee njooni tupige chapati na maharage...pesa yote kaondoka nayo Chile dah sitaki kuamini
hahaha tuliza munkari ndo maana ukaitwa mchezo wa kubahatisha.kumamae zake chile unyonge wote nilionao leo kasabisha leo hata nyumbani sitamani kurudi naweza gombana na wife akizingua asee
aiseeehUkiwa na 1xbet maisha ni rahisi kabisaView attachment 1146865
Ukiwa na 1xbet maisha ni rahisi kabisaView attachment 1146865
Unacheza option gani mkuu
ok nimekupata bro
Mkuu umenikumbusha machungu ya Ajax. Aliondoka na mtaji wote.Wazee njooni tupige chapati na maharage...pesa yote kaondoka nayo Chile dah sitaki kuamini
Sizid 2oddsMKILINDI naomba na wewe tushirikishane option nzuri unazocheza mara Kwa mara