Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Oya wakuu...

Hivi betting kampan gani iko vizuri kwenye game za kikapu.

Yaani game nyingi
Odds tamu.
Na live bet yenye option kibao.
Na wanalipa kwa wakati.

Basket iko njema saana... Pesa ya chap chap nataka niigeuze kuwa biashara yangu..

Msaada tafadhar.
 
1xbet ila mm napenda betpawa
Oya wakuu...

Hivi betting kampan gani iko vizuri kwenye game za kikapu.

Yaani game nyingi
Odds tamu.
Na live bet yenye option kibao.
Na wanalipa kwa wakati.

Basket iko njema saana... Pesa ya chap chap nataka niigeuze kuwa biashara yangu..

Msaada tafadhar.
 
Juzi nilimix mix nkala jana nkasema sibet leo ndo nabet tena
Screenshot_20190701-235959_Chrome.jpeg
 
Unaweza ukiamua kuwa wabet for each quater that is what I do and trust me daily sikos 50+ unless niko bsy sana
 
Basket hilo game la argentina vs puerto rico limekaaje wakuu tucheze firt quarter
 
Back
Top Bottom