Invigilator
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 3,219
- 6,080
Yaan nimeshindwa kuelewa Tunisia nalo chovu kweli kweli match 3 zote linadraw!!.Sitawasahau hawa makondoo mawili. Cameroon na Tunisia. Yameshindwa hata over 0.5 mechi nzima. Nacho ki-Mauritania kinakomaa sijui kinatafuta nini kishenzi tu.