Scaboma
JF-Expert Member
- Jul 29, 2018
- 335
- 212
Angola-MaliNimeongea nao Kuna tatizo selcom ila wanafanyia Kazi 48h Itakua sawa
Mauritania-Tunisia
Hii imekaaje ?
Angola-MaliNimeongea nao Kuna tatizo selcom ila wanafanyia Kazi 48h Itakua sawa
Na je Angola- MaliBenin vs Cameroon over 0.5 (2odds)
Tutalivuka daraja tutakapolifikia.Na je Angola- Mali
Na Mauritania-Tunisia
Imekaaje?
kama alifuata ajiandae kusogea kwa wakalaHahahaha
Ndio maana nimelipwa hela niliyo withdraw tangu Jana bila mafanikio. Leo nilijua kanji atarudisha hela zake Jana tumemfumua balaa.Cameroon kasepa na mpunga wangu. Btw sijawahi mwamini Seedorf na mbinu zake akiwa kocha
Cameroon timu ya kise. ng. e sana.. limetawala game bila kupata goli.Cameroon kasepa na mpunga wangu. Btw sijawahi mwamini Seedorf na mbinu zake akiwa kocha
Pumbavu kweli yani limekosa hata goli mojaCameroon timu ya kise. ng. e sana.. limetawala game bila kupata goli.
Hahahha hatariPumbavu kweli yani limekosa hata goli moja
Hatari mkuuHahahha hatari
Nakuona mkuubrazil gg
odd 2+
extra
3+ odd 2.30
cs 2-1/1-2
odd 6.75/13+
single
Nimeliwa pakubwa ma.ni.naPumbavu kweli yani limekosa hata goli moja
hahaha mkuu acha unaa basi yani ela yangu umelipwa wewe dah nimecheka sanaNdio maana nimelipwa hela niliyo withdraw tangu Jana bila mafanikio. Leo nilijua kanji atarudisha hela zake Jana tumemfumua balaa.
hii timu ikikutana na waarabu watapata tabu sana tatizo wana kocha jina kubwa mbinu ffffCameroon timu ya kise. ng. e sana.. limetawala game bila kupata goli.
Ahahahaha!! Sio unaa mkuu. Nilijua tu leo ntalipwa na huyu kanji kutokana na mechi za leo zilivyokaa. Pole mkuu.hahaha mkuu acha unaa basi yani ela yangu umelipwa wewe dah nimecheka sana
Mhindi afai kabisa siku ya leo, inabidi kumsoma upya, kwanza kwenye live aweki matokeo sahihi anaweka ya uongo hadi mechi iishe ndio anaweka matokeo sahihi.Pumbavu kweli yani limekosa hata goli moja
England (Women) - USA (Women) (n)
total away tem over 1.5 odd 1.89
highest scoring second half odd 2.10
extra
ht/ft x/2 odd 4.50
cs 0-2 odd 6.25
Celtic vipi huko mkuu!!?Mhindi afai kabisa siku ya leo, inabidi kumsoma upya, kwanza kwenye live aweki matokeo sahihi anaweka ya uongo hadi mechi iishe ndio anaweka matokeo sahihi.