Mr Adam Gella
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 1,327
- 664
Nliona tangazo kuna matatizo ya kiufundiKuna mtu kafanikiwa kudeposit betpawa leo?
Nliona tangazo kuna matatizo ya kiufundiKuna mtu kafanikiwa kudeposit betpawa leo?
Ongeza na`cameroon double chance halafu weka nyumba,asubuhi kapange foleni kwa wakalaWakuu naombeni mawazo yenu
Ghana win/draw
Tunisia win/draw
Inaweza kunilipa wakuu?.
wamebadilisha no ya mpesaKuna mtu kafanikiwa kudeposit betpawa leo?
Kuna mtu kafanikiwa kudeposit betpawa leo?
Hapana mkuu hiyo 20%(tax) unapewa kama bonus,bado hawakati chochoteView attachment 1144722
yapKuna mtu kafanikiwa kudeposit betpawa leo?
Msaada nime withdrawl betpawa toka asubuhi mpka sasa sijaona sms ya m pesa
Oya Betpawa vip nime withdrawal Pesa mpaka Sasa sioni meseji ya tiGo Pesa kuingia kuna nini
Mtawekewa msiogope...wana maboresho kidogo.Msaada nime withdrawl betpawa toka asubuhi mpka sasa sijaona sms ya m pesa
Ha ha haaa nmewaambia watu leo kanji anapindua mezaLeo ni siku mbaya saana ya kubet leo ndio siku Mhindi anachukua hela zake. Tuwe makini.
WOOOON TUKUTANE KWA WAKALA.TPS over 2.5
Wamebadili number ya ku deposit 122122Hawa betpawa watakuwa wameanza kuweka makato kudeposit hela, nimejarib mpesa imegoma
WOOON TUKUTANE KWA WAKALAGhana over 0.5
Mechi zijazo vp wazee?WOOON TUKUTANE KWA WAKALA