danfodio
Member
- Dec 2, 2018
- 80
- 58
Hapo inakuwaje sasa mkuu?Inaashiria jinsi gan wamepigwa sana, ndo huwa inakuwa hivyo
Hapo inakuwaje sasa mkuu?Inaashiria jinsi gan wamepigwa sana, ndo huwa inakuwa hivyo
Watatuma ila kuwa mvumiliv kidogo
Unajua kanji alinila ile mbaya. Nikawa bankrupt kabisaa, nikajiazima pesa we jana kaingia kingi hapa natakiwa hio pesa kabla halijabumbuluka!!!!Watatuma ila kuwa mvumiliv kidogo
Mmewatandika kipigo cha mbwa kokoWakuu hivi hawa betpawa wana shida gani? Maana ni zaid ya sa moja nimetoa pesa but pesa haijafika m-pesa
Nenda kwenye site yao ukaangalie Mkuu unaweza kuta inakubali 🤷🏿♂️🤷🏿♂️🤷🏿♂️Wakuu Hawa 22bet1 vp wanadeposit kwa mitandao yetu ya kibongo?
Sasa maajabu ya betting yalivyo, jana tumemlaza kanji na viatu lakini leo anaweza kutulaza sisi na viatu.n zamu yetu kula mafao AFCON
kanji kalala na viatu
Why?Thread closed
Wenye moyo wa kuvaa bomu leo hiiWaliofuata mkeka huu wanacheka saivi
Mmewatandika kipigo cha mbwa koko
Wadau hata mimi nina changamoto hiyo tangu jana mzigo haujafika MpesaSasa maajabu ya betting yalivyo, jana tumemlaza kanji na viatu lakini leo anaweza kutulaza sisi na viatu.
Tuwe waangalifu sana!
HAPANAWakuu Hawa 22bet1 vp wanadeposit kwa mitandao yetu ya kibongo?
Kama unatumia Betpawa ndio zao wakipigwa sana wanakuwa na ucheleweshaji kidogo kwenye malipoWadau hata mimi nina changamoto hiyo tangu jana mzigo haujafika Mpesa
Mkuu leo tunatokajeKama unatumia Betpawa ndio zao wakipigwa sana wanakuwa na ucheleweshaji kidogo kwenye malipo
Ila lazma watakuwekea ondoa hofu
Pamoja mkuuKama unatumia Betpawa ndio zao wakipigwa sana wanakuwa na ucheleweshaji kidogo kwenye malipo
Ila lazma watakuwekea ondoa hofu