Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Bajeti ya wiki ya mafuta imepatikana..
IMG_20190702_000505.jpeg
 
Mwenyewe nimempiga betpawa... Nimewith draw mpka now kimyaa.... Ni changa au vipi mbona wananipa mashaka
 
Senegal Mbupu za mabwana zao yaani nimeipa game yao double chance(12) in 60mins cha ajabu anakuja kupata goli dk ya 63 yaani alisubiria mkeka upasuke kwanza,Euro 173 zimeota mapembe dah,Shikamoo betting.
 
Pole mkuu hizi mechi za Afcon sio za kuzipa ushindi Wa dk, unaona kama morocco walivyopata goli mwishoni.
Yaani huu mkeka nilikuwa naokolea kwenye chaki mechi karibu nne aisee,

Ilianza ya S,Africa niliwapa Fist goal will be scored from 16mins or later Morocco akaokolea kwenye chaki.

Game ya Djugardens niliwapa ov 1.5 akaanza kushinda dk ya 80+

Dah game nyingine zikaenda kwa mwendo huohuo mpaka akabakia Kenya na bw, wake Senegal ndo wakaamua kuuchoma kabisa.
 
Back
Top Bottom