kamanga2016
JF-Expert Member
- Apr 5, 2016
- 657
- 503
Leo AFCON n ukame wa magoli daah
Sure kutokana na round waliyopo.Leo AFCON n ukame wa magoli daah
Aisee 1xbet Ina ladha yake kama Kwenye Afcon unatembea na 10 min draw. Hatariii. Ila toka system ya kuweka na kutoa ivurugike mambo yakawa tafrani.Kwahiyo 1xbet Tanzania tuisahau kabisaaa au ??
Aisee 1xbet Ina ladha yake kama Kwenye Afcon unatembea na 10 min draw. Hatariii. Ila toka system ya kuweka na kutoa ivurugike mambo yakawa tafrani.
mkuu, wanakata kiasi gani/asilimia ngapi kutoka bank kwenda skrillMimi 1xbet tangu system za kuweka kwa mitandao ya simu kuzingua niliamua kujipa likizo kidogo..
Sasa nimerudi tena kwenye kampun yangu pendwa, sasa hiv naweka pesa kupitia Skrill.
Mbona lain za safaricom zinapatikana na watu wengi tu wanazo kwa sasa na wala hazisumbui zinakuja zipo tayari kabsa kuna vitu vidogo tu vya kuverify then unatumia na haina makato wala nn,Mimi 1xbet tangu system za kuweka kwa mitandao ya simu kuzingua niliamua kujipa likizo kidogo..
Sasa nimerudi tena kwenye kampun yangu pendwa, sasa hiv naweka pesa kupitia Skrill.
Mbona lain za safaricom zinapatikana na watu wengi tu wanazo kwa sasa na wala hazisumbui zinakuja zipo tayari kabsa kuna vitu vidogo tu vya kuverify then unatumia na haina makato wala nn,
Afcon ni umaskini unaotunyemelea wakamariaAfcon kwa upande wangu haisomeki kabisaaaaaa
Majanga tu
Inakera bhana..kila saa uende kweny calculator ili usijikute umeeka hela yoteMbona lain za safaricom zinapatikana na watu wengi tu wanazo kwa sasa na wala hazisumbui zinakuja zipo tayari kabsa kuna vitu vidogo tu vya kuverify then unatumia na haina makato wala nn,
Both team to score NoYaani Kuna wakati kuna game Kama zote lakini unakosa hata odds 1.0...kama kiinimacho aisee...Sasa fikiria Kama jana nani aliota labda aweke game za afcon zote draw au correct score zote 0:0..
Ukisema uweke game chache mfano jana unaweka elfu 50000 halafu unaipa Angola over 0.5 matokeo ndio Kama mlivyosikia...😂😂😂
Betting haina formula aisee inabadilika kulingana na tournament na game husikaYaani Kuna wakati kuna game Kama zote lakini unakosa hata odds 1.0...kama kiinimacho aisee...Sasa fikiria Kama jana nani aliota labda aweke game za afcon zote draw au correct score zote 0:0..
Ukisema uweke game chache mfano jana unaweka elfu 50000 halafu unaipa Angola over 0.5 matokeo ndio Kama mlivyosikia...😂😂😂