Void ab initio
JF-Expert Member
- Mar 1, 2015
- 5,739
- 5,703
Ukichelewa utapishana na hela.Ngoja nifanye fasta
Ukichelewa utapishana na hela.Ngoja nifanye fasta
lostAngola over 0.5
Second loss in AFCONlost
2 0DDS WOOOOOOOON.
ILANI! usijiloge kuweka under kwenye basketball utajuta. ni bora uweke over hainaga presha kuliko under unaweza kufa kwa bp
2 0DDS WOOOOOOOON.
10,000.Ilkua mnauza kiasi gani mkuu?
[emoji818][emoji818]Line za safari com zinakuja zikiwa zimesajiliwa na ID za kenya hivyo hata akaunti inakuwa imatumia majina hayo ya vitambulisho vilivotumika kusajili
Ndio maana unapopata line ni lazima ufungue akaunti mpya yenye details zinazoendana na na vitambulisho hivyo huku ukifake location kuzuga kuwa upo Kenya
We hujiulizi ni kwanini unafungua akaunti mpy hali ya kuwa tayari ulikuwa na akaunti yako ya mwanzo???
Watu wengi inaonekana hamjaelewa mantiki ya kufanya hivyo so you need to take care of that.ndio mana kuna wadau walitoa tahadhari kwamba usi withdraw pesa nyingi maana ndio mwanzo wa hawa jamaa kukuomba hizo documents!
Be watchful bruders kuna hatari ya kupoteza pesa zako mazee!!!
Sisi ya Kenya ipo poa.IXBet yangu inagoma kufunguka
Hizo simcard za safaricom moja mnauzaje?
Wacheki pale kwenye Livechat labda wamepitiwa mitambo hiyooo haha watakurekebishia chaphawa princess bet tangu jana game iliisha mchana wameupdate leo timu imeshinda wao wameweka lost
Nilishawacheki asubuhi wakaniambia nitume no ya slip nikawatumia. Nilikuwa kwenye mihangaiko so nilishindwa kufatilia nakuja kucheki jioni hii. Kimya halafu na wahudumu hawako onlineWacheki pale kwenye Livechat labda wamepitiwa mitambo hiyooo haha watakurekebishia chap
Duh pole aysee labda uwapigie simu ila mm nimetoka kuchat nao ss hv wapo onlineNilishawacheki asubuhi wakaniambia nitume no ya slip nikawatumia. Nilikuwa kwenye mihangaiko so nilishindwa kufatilia nakuja kucheki jioni hii. Kimya halafu na wahudumu hawako online
yaah washarudi onlineDuh pole aysee labda uwapigie simu ila mm nimetoka kuchat nao ss hv wapo online
Hahahahaha kesho tunaenda pamoja