Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hahahaaa hapo ndo kasheshe mkuu hy line kama ulisajili kwa kitambulisho chako tu ndo utaweza kutoa hiyo Feza tofauti na hapo hesabu hiyo imeshapotea

Hawa jamaa si mchezo kabisa ukiona wanakuomba hivi details zako au documents ujue kuna kitu wameshtukia

Niliwahi kusumbuliwa na hawa jamaa ilibaki kidogo tu niwatukane na niachane kabisa na akaunti yenyewe lkn roho iksita nikakomaa sana mpaka wakaniruhusu kutoa mpunga
I swear hyo pesa andika umepoteza tu kiongozi maana huna namna unaweza kuitoa bila kuthibitisha taarifa zako
Mkuu 1xbet wana mkataba na kwenye akaunt siyo kwenye laini
 
duuh inaumaaa inachomaaa kama pasi.
Screenshot_20190622-150519.jpeg
 
Jamani msaada plz, Kwa wanaotumia Safar com, nimetaka Kutoa Mzigo 1xbet, wananiambia nijaze personal profile, je nyie mmefanyaje au mmejaza VIP Kwenye ID
mkuu vipi umefanikiwa kuwthdraw mpunga wako? Hapo kwenye ID unatakiwa ujaze namba ya kitambulisho ambacho ni cha Kenya mkuu
 
Mkuu 1xbet wana mkataba na kwenye akaunt siyo kwenye laini
Line za safari com zinakuja zikiwa zimesajiliwa na ID za kenya hivyo hata akaunti inakuwa imatumia majina hayo ya vitambulisho vilivotumika kusajili

Ndio maana unapopata line ni lazima ufungue akaunti mpya yenye details zinazoendana na na vitambulisho hivyo huku ukifake location kuzuga kuwa upo Kenya

We hujiulizi ni kwanini unafungua akaunti mpy hali ya kuwa tayari ulikuwa na akaunti yako ya mwanzo???

Watu wengi inaonekana hamjaelewa mantiki ya kufanya hivyo so you need to take care of that.ndio mana kuna wadau walitoa tahadhari kwamba usi withdraw pesa nyingi maana ndio mwanzo wa hawa jamaa kukuomba hizo documents!

Be watchful bruders kuna hatari ya kupoteza pesa zako mazee!!!
 
Back
Top Bottom