Jamani msaada plz, Kwa wanaotumia Safar com, nimetaka Kutoa Mzigo 1xbet, wananiambia nijaze personal profile, je nyie mmefanyaje au mmejaza VIP Kwenye ID
Bet won⚽Egypt vs Zimbabwe
Over 0.5 FH.🎖⚽
Bro uwe unashare tule wote kizuri kula na wenzio
Unatumia Lain ya safarcomI'd unajaza taarifa zako sahihi kama zinavyosomeka kwenye nida yako
WON
WanayoWadau BetPawa wana option ya kukata mkeka machale yakikucheza?
Wanayo
Hahahaaa hapo ndo kasheshe mkuu hy line kama ulisajili kwa kitambulisho chako tu ndo utaweza kutoa hiyo Feza tofauti na hapo hesabu hiyo imeshapoteaJamani msaada plz, Kwa wanaotumia Safar com, nimetaka Kutoa Mzigo 1xbet, wananiambia nijaze personal profile, je nyie mmefanyaje au mmejaza VIP Kwenye ID
Hahahaaa hapo ndo kasheshe mkuu hy line kama ulisajili kwa kitambulisho chako tu ndo utaweza kutoa hiyo Feza tofauti na hapo hesabu hiyo imeshapotea
Hawa jamaa si mchezo kabisa ukiona wanakuomba hivi details zako au documents ujue kuna kitu wameshtukia
Niliwahi kusumbuliwa na hawa jamaa ilibaki kidogo tu niwatukane na niachane kabisa na akaunti yenyewe lkn roho iksita nikakomaa sana mpaka wakaniruhusu kutoa mpunga
I swear hyo pesa andika umepoteza tu kiongozi maana huna namna unaweza kuitoa bila kuthibitisha taarifa zako
Kama Inakubali kudeposit na kuwithdraw bila shida yeyote hapo sawa vinginevyo mara kumi utumie Bitcoin hata kama Makato ni Makumbwa lkn usalama wa pesa yako uko sawaAnzeni kitumia skrill
Skrill haina tatzo kabsa kideposite makato kama buku 2
Mzee wa basket???
Akhsante sana Mzee baba
Basketball hainitupi nlianza siku vbaya kwa tamaa za kubet ligi za kipuuzi nikaliwa ila nimerekebisha wafilipno hawajawahi kunitupaView attachment 1133541