unatumia bank gani?Ukideposite ela itakuja kwenye currency uliyoset tshs haipo ila ukideposite from skrill to 1xbet itaingia kama tshs mfano umedeposite 10000 itaappear ka usd 4 hv na ukiileta 1xbet itarud katka tshs
unatumia bank gani?
Inarudi kwa tsh bila shida. Hapo ni auto.Ukideposite ela itakuja kwenye currency uliyoset tshs haipo ila ukideposite from skrill to 1xbet itaingia kama tshs mfano umedeposite 10000 itaappear ka usd 4 hv na ukiileta 1xbet itarud katka tshs
Umeshawai kuwithdraw hela kutoka skrill kuja bank? Nasikia kuna complications za hatari. Tunaomba mrejesho ukiweza kutoaCiti bank ila bank abc ni nzur pia
Umeshawai kuwithdraw hela kutoka skrill kuja bank? Nasikia kuna complications za hatari. Tunaomba mrejesho ukiweza kutoa
Mimi skrill uwa nawithdraw ela rahsi tu kwenye akaunt yangu ya bank abc au citibank au barclays au namtumia mwctr ananitumia kwa mpesa
Muone mwalimu ctrl yule jamaa anayesaidia watu kuagza vitu njeSina account ya bank nitumie salio kwa skrill
Muone mwalimu ctrl yule jamaa anayesaidia watu kuagza vitu nje
Sh ngap line mkuu????Ndugu wajumbe kuna line chache za Safaricom zimeingia Dar Jana. Kama unahitaji Unaniona WhatsApp inbox 0719957092 nakupa maelekezo uje uichkue ukiwa na pesa mkononi.
Watu wa Moro nakuja Nazo Mimi mwenyewe J3 hapo.
Karibuni.
Ongezea hapo MPE Senegal jpiliWAKUU AFCON IMEANZA VIPI NITAKA NIJILIPUE HIVI KWA MATCH ZA LEO NA KESHO,USHAURI TAFADHALIView attachment 1133298
Mkuu inaweza kulipa?ninamaanisha kabisa Boss na nikiweka nitatuma hapa uone.Ongezea hapo MPE Senegal jpili
Mimi nitampa kipndi cha kwanza handicap ya goli 1(-1)Mkuu inaweza kulipa?ninamaanisha kabisa Boss na nikiweka nitatuma hapa uone.
Mhm mkuu unanitisha niogope kuinunuaWauzaji wa line za safaricom kuweni makini TCRA watawapa uhujumu uchumi
Mhm mkuu unanitisha niogope kuinunua
Sawa sawa mkuuWauzaji ndo watapata shida si wanunuaji