Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Daaa jukwaa hili siku hizi limekuwa ni sehemu ya kuuza line na story za kufungua accounts betting company.... No more tips za mikeka kama zamani.. Yan daaa Aisee linaboa balaaa
Bila kuwa kuwa na line ya Safaricom na kufungua account utaitumiaje hiyo tip. Au unatushauri wote tutumie mkeka bet?
 
Basketball hainitupi nlianza siku vbaya kwa tamaa za kubet ligi za kipuuzi nikaliwa ila nimerekebisha wafilipno hawajawahi kunitupa
Screenshot_20190621-163842_Chrome.jpeg
 
Tatizo mnaingia kwenye huu ulevi wakati sheria zake hamjui. Naona tatizo ni uelewa mdogo, maneno ya OVER & UNDER yanakupa shida wewe mpumbavu. Nakupa elimu ya bure, under 2 ni chini ya mabao miwili hata game ikiisha kwa matokeo ya 2-0 mkeka wako umewin kila siku mimi nacheza hivyo wala sina nia ya kuambatanisha na picha, maana huwa sitaki kelele na wapumbavu wasiotaka kujifunza. Betpawa unatengeneza mkeka hata kwa Tsh 200 unaweza kujaribu kwa vitendo ukaona matokeo yake wewe Zumbukuku.
Unachanganya kiongozi under 2 na under 2.5.

Under 2 goli zikipatikana 2 unakuwa refunded maana hiyo siyo under 2 tena ni exactly 2.

Under 2.5 goli zikiishia 2 umewin, zikifika 3 ni lost..
 
Back
Top Bottom