Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mimi sihami basket yani kila siku lazima betpawa anipe ela ya supu
Screenshot_20190620-151254_Chrome.jpeg
 
Ifanyie kazi uje nayo tuone kama tunaweza tambaa nayo AFCON
Mkuu, nimeangalia betpawa hii option ipo kwa mechi nne tu,wakati kule kwa Mrusi kaweka mpaka under 3.5 first half.
Kwakuwa natumia betpawa, kwa sasa sina ujanja tena..ngoja niangalie option nyingine.
 
Hivi localbitcoin mbona website yao chenga chenga... Au ni kwangu mimi tu...???
 
Mkuu, nimeangalia betpawa hii option ipo kwa mechi nne tu,wakati kule kwa Mrusi kaweka mpaka under 3.5 first half.
Kwakuwa natumia betpawa, kwa sasa sina ujanja tena..ngoja niangalie option nyingine.
Mkuu Mrusi kampuni gani mkuu?
 
Aaah aaah wadau naandaa mikeka 36.

30 ni Jackpot m-Pawa.
3 -Mnet perfect 12.
3- Jackpot sport pesa.

Dua zenu wakuu.... Nitaleta mrejesho ila kuna hati hati ya kuwapiga hawa.
 
Back
Top Bottom