Undetectable
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 1,702
- 2,287
Hii ya under 2.5 first half nimeijaribu leo kwa game kumi, tena nilifanya randomly bila ya kufanya analysis nikapata odds 3 ila timu moja tu ndo imezingua.Kibongo bongo sijawahi kukutana na game yenye option ya under 2. Hii unayosema wewe mkuu ni under 2.5; nimependa akili uliyotumia kumpiga muhindi, ngoja na mimi nijaribu labda hela ya kubadilisha mboga nitakuwa siikosi.
Hii sijawahi ifikiria.. ila naona inaweza kuwa nzuri hasa ukituliza akili. View attachment 1131940