@Cashmoney
Mambo VP mkuu? Hivi wakati wa place bet hapo chini kwenye
Mambo VP mkuu? Hivi wakati wa place bet hapo chini kwenye
Accept any odds changes?
Inatakiwa ibaki yes au no wakati wa place bet.?
EEH(Either Half)
ukiweka yes unakua umekubali mabadiliko ya odds yaani kuongezeka ama kupungua kwa odds zinapo badilika
ukiweka No manaake ni kua odds zinapo badilika ww kweny ticket yako zita endelea kubaki ivo ivo
ukiweka yes unakua umekubali mabadiliko ya odds yaani kuongezeka ama kupungua kwa odds zinapo badilika
ukiweka No manaake ni kua odds zinapo badilika ww kweny ticket yako zita endelea kubaki ivo ivo
Nadhani ni european handicupHyo EH maana yake nn wakuu kuna mtu ameniulza nimeshindwa kumjibuView attachment 1130903
Ndio mimi naechat na wewe whatsappPole sana mkuu, najua kuna usalama mdogo sana unapomtumia pesa mtu usiyemjua. Kwa kulijua hilo, ndio maana nikaamua kuuza line kwa kutumia mfumo wa mkono kwa mkono. Mikoa ninayoisambazia line za Safaricom kwa mfumo ya mkono kwa mkono ni Arusha (Mianzini), Kilimanjaro (Moshi Mjini) na Dar es Salaam (Ubungo). Nje ya hapo, nafanya kukushauri umtafute ndugu au rafiki yako anayepatikana maeneo hayo, aje akununulie akutumie, na sio unitumie hela nikutumie Hapana.
WhatsApp yangu ni 0719957092. Mfumo wa kupata line ni huo huo hapo juu. Usitume pesa kwa mtu usiyemjua.
Mheshimiwa ambaye ni mhanga wamekutapeli, Niambie utanitafuta kwa namba gani WhatsApp ili nikuuzie kwa nusu bei, maana wewe ni mhanga tayari.
Angalizo: Kuna watu watakuja watasema wametapeliwa. Vigezo na masharti kuzingatiwa.
Kwa maana ya kuwa goli lisizidi moja? Likizidi stake inakuwa refunded?Kwanza tuambiane ukweli, ukishaingia kwenye ulevi huu sharti uwe na roho ngumu.
Sasa tugawane umasikini... Njia nyingine ya kushinda beti uhakika 70% kwa wale tunaotumia kampuni zenye kubashiri matokeo ya kipindi cha kwanza kwenye football. Mimi huwa nacheza Under 2 magoli kwa first half. Lakini hii inahitaji utulivu wa akili kuchagua timu ambazo zinaweza kufanya usiwe na presha kubwa. Hii pia inahitaji stake yako iwe angalau Tsh 5000, unaweza tafuta Odd 1.80 au Odd 2 kwa timu 4 mpaka 5. Unaweza kujaribu hii, mimi nimeweza kuona faida yake ila wakati mwingine presha huwa inakuwa kubwa kwa timu ambayo inaruhusu bao 1 la mapema zaidi.
Hapo hakuna nafasi ya stake kuwa refunded. Utapata nafasi hiyo kama game ulizochagua zote ziwe zimehairishwa.Kwa maana ya kuwa goli lisizidi moja? Likizidi stake inakuwa refunded?
kama hujui uwe unakaa kimya...unampotosha mwenzakoHapo hakuna nafasi ya stake kuwa refunded. Utapata nafasi hiyo kama game ulizochagua zote ziwe zimehairishwa.
Under 2 ina maana goli zisizidi 2. Kama matokeo yakiwa 0-0, 1-1, 0-1 au 2-0 hapo inamaana umeshinda.
Presha ya mkeka wako kuwa kubwa ni pale timu moja inaporuhusu bao la mapema zaidi, inawezekana mpaka dk 45 za kwanza watu wakapigwa 3 mtungi na hapo mkeka wapo unakuwa umechanika ndio ilikuwa maana yangu mkuu.