Msaada please maana nataka kuweka kambi rasmi Sportspesa
Dinner savedStake wisely View attachment 1123256
Kudeposit 1xbet naomba maelekezo anayefaham wadau
bila kutumia safaricom line, PM au hapahapa
Dinner savedStake wisely View attachment 1123324
We nae huenda unajumlisha hadi ma reserves, pata tisa au kumi kwa mfuatano wa game ya 1-12Jamani mbona Mimi Kila ninapocheza perfect 12 M-bet sipati gawio iwapo mara ya Kwanza nilipata mechi 9 ticket inaonesha Lost Mara ya pili nikapata mechi 10 vile vile ticket Lost Wana Nini na Mimi Hawa Mbet???
But recoveredNa test mitambo na basketball
Nasikia inalipa inplaView attachment 1123524
Pole sana mkuu, najua kuna usalama mdogo sana unapomtumia pesa mtu usiyemjua. Kwa kulijua hilo, ndio maana nikaamua kuuza line kwa kutumia mfumo wa mkono kwa mkono. Mikoa ninayoisambazia line za Safaricom kwa mfumo ya mkono kwa mkono ni Arusha (Mianzini), Kilimanjaro (Moshi Mjini) na Dar es Salaam (Ubungo). Nje ya hapo, nafanya kukushauri umtafute ndugu au rafiki yako anayepatikana maeneo hayo, aje akununulie akutumie, na sio unitumie hela nikutumie Hapana.HABARI WAKAMALIA WENZANGU.
Kutokana na company yetu pendwa ya 1XBET kufanyiwa figisu kwa kuondolewa MOBILE PAYMENT, wakajitokeza baadhi ya watu kuelekeza njia mbalimbali za kudeposit ikiwemo BITCOIN pia wauzaji wa line za SAFARICOM wakajitokeza.
Kuna bwana mmoja anaitwa FAOKIPE alidai yuko tarime na anaewezo wa kupata line za SAFARICOM, bwana huyu nikamPM na tukaelewana bei ya line.
Siku ilifuata ( Alhamisi ya tarehe 23 /5) nikimtumia pesa tuliokubaliana ili anifanyie mpango wa line na akasema siku inayofuata (Ijumaa) atakuja na line yangu MUSOMA saa 5 asubuhi.
Ijumaa niliondoka maskani saa 3 asubuhi mpaka stend kupotea line yangu, ajabu kila nimpigiapo simu anazidi kusogeza masaa mbele mara saa 7 nikaona isiwe tabu nikakaa mpaka MIDA YA JIONI na ukumbuke kutoka TARIME mpaka MUSOMA kwa gari hayazidi masaa 2.30
Nilipompigia tena simu zaidi ya mara 5 atawa hapokei , baadae kidogo akapokei na kunambia ETI WAMEPATA AJALI mhhh!! Nikamwambia isiwe tabu siku ukijisikia kuliletea line utanijulisha.
Kwa masikitiko mpaka leo tarehe 9 hakuwa nitafuta hata kwa sms , leo nimemtafuta cha ajabu akawa kesha NISAHAU.
Binafsi nasema huu jamaa anayejiita FAOKIPE mwenye namba 0762283535 na jina analotumia M-PESA MICHAEL MABINZA ni miongoni mwa MATAPELI
CHUKUENI TAHADHALI JUU YA BWANA HUU NI MUUMINIKA
View attachment 1122292
Pole sana mkuuHABARI WAKAMALIA WENZANGU.