inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,805
- 22,633
israel fala sana,kabaki yeye tu kupata goli nimle mhindi 5m+...tatizo kwao kufilana kwingi
Aisee mkuu we acha tu yaani hii kazi kuna mapuuzi sijui yanakula commission dah.Nawanenepesha Parimatch sio kidogoNgoja nicheke tu, [emoji3][emoji3]odd 26 zimepepea mpumbavu yuko home na mwenzie ana red card na likapata big chance dkk ya 80 limeshindwa kupata goal moja tuView attachment 1124134
israel fala sana,kabaki yeye tu kupata goli nimle mhindi 5m+...tatizo kwao kufilana kwingi
Mkuu unajua sometimes kunakuwa na matokeo ya kushangaza sana. Ila huu ni wakati timu kucheza kamari, so watch out!Ngoja nicheke tu, [emoji3][emoji3]odd 26 zimepepea mpumbavu yuko home na mwenzie ana red card na likapata big chance dkk ya 80 limeshindwa kupata goal moja tuView attachment 1124134
Right. Lakini TUHUMA alizokutuhumu ni za kweli au ni za uwongo? Sio vizuri kumzungusha mwenzako kama pia. Kama una uwezo wa kumletea hiyo laini mwambie kinagaubaga kwa mujibu wa makubaliano yenu. Sio mnakubalina hivi halafu wewe unafanya vile na unajua mtu kasafiri kutoka mbali kufuata laini yake. Sio vizuri. Hata kama ungekuwa wewe lazima ungekasirika. Anyway, mpeni jamaa laini yake kama imeshindikana, basi. Sio ugomvi.Hapa nlipo niko kenya na kesho ntakua musoma line ninayo nataka aondoe maneno yake tu aliyonikosea adabu maana naamini kwa umri ni kama mtoto wng sina cha zaidi
ase jamaa una maneno ya busara .nahs una 25 above.ujue ss knachotukwamisha tuna utoto mwngRight. Lakini TUHUMA alizokutuhumu ni za kweli au ni za uwongo? Sio vizuri kumzungusha mwenzako kama pia. Kama una uwezo wa kumletea hiyo laini mwambie kinagaubaga kwa mujibu wa amakubaliano yenu. Sio mnakubalina hivi halafu wewe unafanya vile na unajua mtu kasafiri kutoka mbali kufuata laini yake. Sio vizuri. Hata kama ungekuwa wewe lazima ungekasirika. Anyway, mpeni jamaa laini yake kama imeshindikana, basi. Sio ugomvi.
Pole sana mkuu. Huwa naumia sana timu moja ikinikoseha pesa[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Hahahahahahahahahahaisrael fala sana,kabaki yeye tu kupata goli nimle mhindi 5m+...tatizo kwao kufilana kwingi