Mkuu mm ndio mhusika, dogo amekosa busara na heshima alimitumia hela baada ya kuridhika na maelezo yng kwanza sikua hata nataka ila alinisihi sana nkaamua kuvunja ratiba yng nimshugulikie swala lake, line imepatikana nkamuandaa aje mjini njiani gari yng ikagongwa na gari la ngombe nkamtaarifu ,nkamwambia siko sawa labda kesho ndo ntakua mjini uje uchukue line yako!!! Dogo aliniporomoshea matusi hakuna tusi aliacha, akasema najifanya tapeli ntaona ,nkamwambia ondoa maneno yako uliyonitamkia tuonane au nimpe kijana wng akuletee sababu anapoishi napajua hakufamya hivyo, akasema nalipeleka kwa wana jf ,nkamwambia Kama ni utatuzi utaosaidia peleka!!! JIBU LA UPOLE HUGEUZA HASIRA