tpaul
Platinum Member
- Feb 3, 2008
- 27,843
- 29,350
Hii mechi ni ngumu sana mkuu.Ureno lazima ashinde mkuu
Hii mechi ni ngumu sana mkuu.Ureno lazima ashinde mkuu
Du! Yupo humu JF? Kama yupo JamiiForums tumuombe admin amfungie kwa utapeli wake huu.HABARI WAKAMALIA WENZANGU.
Kutokana na company yetu pendwa ya 1XBET kufanyiwa figisu kwa kuondolewa MOBILE PAYMENT, wakajitokeza baadhi ya watu kuelekeza njia mbalimbali za kudeposit ikiwemo BITCOIN pia wauzaji wa line za SAFARICOM wakajitokeza.
Kuna bwana mmoja anaitwa FAOKIPE alidai yuko tarime na anaewezo wa kupata line za SAFARICOM, bwana huyu nikamPM na tukaelewana bei ya line.
Siku ilifuata ( Alhamisi ya tarehe 23 /5) nikimtumia pesa tuliokubaliana ili anifanyie mpango wa line na akasema siku inayofuata (Ijumaa) atakuja na line yangu MUSOMA saa 5 asubuhi.
Ijumaa niliondoka maskani saa 3 asubuhi mpaka stend kupotea line yangu, ajabu kila nimpigiapo simu anazidi kusogeza masaa mbele mara saa 7 nikaona isiwe tabu nikakaa mpaka MIDA YA JIONI na ukumbuke kutoka TARIME mpaka MUSOMA kwa gari hayazidi masaa 2.30
Nilipompigia tena simu zaidi ya mara 5 atawa hapokei , baadae kidogo akapokei na kunambia ETI WAMEPATA AJALI mhhh!! Nikamwambia isiwe tabu siku ukijisikia kuliletea line utanijulisha.
Kwa masikitiko mpaka leo tarehe 9 hakuwa nitafuta hata kwa sms , leo nimemtafuta cha ajabu akawa kesha NISAHAU.
Binafsi nasema huu jamaa anayejiita FAOKIPE mwenye namba 0762283535 na jina analotumia M-PESA MICHAEL MABINZA ni miongoni mwa MATAPELI
CHUKUENI TAHADHALI JUU YA BWANA HUU NI MUUMINIKA
View attachment 1122292
Mkuu leo sio siku ya kubet, tusubiri siku nyingine. Leo ni siku ya kuliwa na Kanji.tpaul nakutegemea Leo mkuu natafuta kodi ya nyumba
Mkuu tumia simu au kompiuta tofauti kujisajiri kwa jina na namba ya simu tofauti na ile uliyotumia kwanza. Hata kama wanakufutilia hawawezi kuwa smart kiasi hicho.Msaada wakuu. Nimefungua account Premierbet kama wiki moja sasa. Leo nime-win bet lakini najaribu kutoa pesa napata ujumbe huu hapa. mwenye uzoefu na hii kampuni msaada tafadhali
View attachment 1122114
Mkuu tumia simu au kompiuta tofauti kujisajiri kwa jina na namba ya simu tofauti na ile uliyotumia kwanzo. Hata kama wanakufutilia hawawezi kuwa smart kiasi hicho.
Kwani perfect 12 si mpaka zote zitiki mkuu au mashari yao yanasemeje?Jamani mbona Mimi Kila ninapocheza perfect 12 M-bet sipati gawio iwapo mara ya Kwanza nilipata mechi 9 ticket inaonesha Lost Mara ya pili nikapata mechi 10 vile vile ticket Lost Wana Nini na Mimi Hawa Mbet???
HABARI WAKAMALIA WENZANGU.
Kutokana na company yetu pendwa ya 1XBET kufanyiwa figisu kwa kuondolewa MOBILE PAYMENT, wakajitokeza baadhi ya watu kuelekeza njia mbalimbali za kudeposit ikiwemo BITCOIN pia wauzaji wa line za SAFARICOM wakajitokeza.
Kuna bwana mmoja anaitwa FAOKIPE alidai yuko tarime na anaewezo wa kupata line za SAFARICOM, bwana huyu nikamPM na tukaelewana bei ya line.
Siku ilifuata ( Alhamisi ya tarehe 23 /5) nikimtumia pesa tuliokubaliana ili anifanyie mpango wa line na akasema siku inayofuata (Ijumaa) atakuja na line yangu MUSOMA saa 5 asubuhi.
Ijumaa niliondoka maskani saa 3 asubuhi mpaka stend kupotea line yangu, ajabu kila nimpigiapo simu anazidi kusogeza masaa mbele mara saa 7 nikaona isiwe tabu nikakaa mpaka MIDA YA JIONI na ukumbuke kutoka TARIME mpaka MUSOMA kwa gari hayazidi masaa 2.30
Nilipompigia tena simu zaidi ya mara 5 atawa hapokei , baadae kidogo akapokei na kunambia ETI WAMEPATA AJALI mhhh!! Nikamwambia isiwe tabu siku ukijisikia kuliletea line utanijulisha.
Kwa masikitiko mpaka leo tarehe 9 hakuwa nitafuta hata kwa sms , leo nimemtafuta cha ajabu akawa kesha NISAHAU.
Binafsi nasema huu jamaa anayejiita FAOKIPE mwenye namba 0762283535 na jina analotumia M-PESA MICHAEL MABINZA ni miongoni mwa MATAPELI
CHUKUENI TAHADHALI JUU YA BWANA HUU NI MUUMINIKA
View attachment 1122292
Kutoa pesa kutoka akunti iliyofungiwa au mpya uliyofungua upya? Kama ni kwenye akaunti iliyofungiwa, haitawezekana mpaka ifunguliwe kwanza. Kama ni akaunti mpya, inabidi uripoti tatizo waangalie tatizo ni nini.Mkuu tatizo lipo kwenye kutoa pesa. Sasa kama nafungua account nyingine pesa yangu naipataje mkuu? Yaani hii account niliyofungua haina shida ku-deposit, shida ni kutoa pesa ndiyo wanazingua.
Kutoa pesa kutoka akunti iliyofungiwa au mpya uliyofungua upya? Kama ni kwenye akaunti iliyofungiwa, haitawezekana mpaka ifunguliwe kwanza. Kama ni akaunti mpya, inabidi uripoti tatizo waangalie tatizo ni nini.
Hapana mkuu wameweka dau kuanzia mechi 9 kuna dau lakeKwani perfect 12 si mpaka zote zitiki mkuu au mashari yao yanasemeje?
Ushauri kuntu.Kuweni Makini saana na Hizi mambo za Safaricom! Usimtumie pesa Mtu Usiyemjua, Utatapeliwa tu! Sasa kipi bora Kukosa line na hela yako unayo au Kutapeliwa? Hakikisheni Biashara inafanywa Mkono kwa Mkono, Uso kwa Uso! Tofauti na Hapo Utapeli utazidi kuendelea 🤬🤬🤬 Bora Ukose pesa kwa Kubetia Betpawa au bora ukatwe parefu Kudeposit kwa Bitcoin kuliko Kufanyiwa Utapeli Inaumiza saana! Chukueni Tahadhari maana malalamiko yamekuwa Mengi! Halafu wadau na nyie unaanzaje kumuamini mtu wa jf [emoji15][emoji15][emoji15] Eti kisa tu kakupa namba ya simu[emoji15] TUWE MAKINI SANA
Mkuu umewasiliana nao? Hebu wasiliana nao usikie wanasemaje kwanza. Kama mashrti ni hayo, basi LAZIMA upewe mpunga wako bila shuruti. Wasiliana nao kwanza kama watakuzingua uwashitaki hapa: http://www.gamingboard.go.tz/contactus_feedback.php?p=20&s=contacts&t=Feedback FormHapana mkuu wameweka dau kuanzia mechi 9 kuna dau lake
Mechi 10 kuna dau lake mechi 11 kuna dau lake pia mech 12 kuna dau lake Ila inapotokea kwenye Kila dau kuna watu kadhaa mnapigwa gawio kutokana na pesa iliyopo kwenye dau la mechi hizo
Hapana mkuu wameweka dau kuanzia mechi 9 kuna dau lake
Mechi 10 kuna dau lake mechi 11 kuna dau lake pia mech 12 kuna dau lake Ila inapotokea kwenye Kila dau kuna watu kadhaa mnapigwa gawio kutokana na pesa iliyopo kwenye dau la mechi hizo
9-6-2019Mambo yameenda vizuri kama tulivyotegemea kumbuka tumeanza na Tshs 150,000
Leo hii baada ya matokeo yote tumefikisha Tshs 237,500
Tukutane kesho asubuhi baada ya analysis za mechi zenye possibility kubwa 90% ya kushinda.
Target ni kufikisha angalau Tshs 900,000 Mwezi huu
Kumbuka tumeanza na Tshs 150,000
Habari wakuu,
Samahani naomba kufahamishwa kampuni ya kubet yenye option ya over 0.5 FT Kwa kila mechi maana naona betpawa hii option wanaiweka Kwa timu chache sana!
Uwe umeshinda kuanzia 10,000/= kwenda juu ndipo utaweza kutoa pesa kama ni pungufu ziache au bet zaidi. Hayo ni maelekezo yao ya jana tarehe 08 Juni 2019 kuwa huo ndiyo utaratibu wao mpya.Msaada wakuu. Nimefungua account Premierbet kama wiki moja sasa. Leo nime-win bet lakini najaribu kutoa pesa napata ujumbe huu hapa. mwenye uzoefu na hii kampuni msaada tafadhali
View attachment 1122114