Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

View attachment 1121824
mimi na basket basket na mimi toka saa 11 asubuhi napig mzigo nasubiri mechi ya saa 12 unusu saa moja na kuendelea basket imeniokoa toa nimeachana na kubet football
Asante Bro Na Mimi Nimekufuata Jana Baada Ya Post Yako Japokuwa Stake Zangu Ni Buku Buku But Naona Matundq Mungu Akubariki
Screenshot_20190608-173642.jpeg
 
Wakuu habari zenu jamani,Mi naomba kuuliza kwa wenye uzoefu na hizi kampuni za betting za nje.

Nilikuwa nikitafuta kampuni ya kizungu ya kubetia hasa zile kubwakubwa tunazozionaga katika ligi ya Uingereza kama kina Bet365,Williamhill,BetFair,Lardbrokes n.k n.k lakini nyingi nilipokuwa nikijaribu kuanza registration process zinanijibu hazitoi huduma ktk nchi yangu sasa nikabahatika kukutana na 888sports nikasajili ikakubali na sasa nina akaunti huko,Sasa maswali yangu ni haya kwa ambaye ana uelewa na haya makampuni.

Je ufanisi wa kampuni hii ukoje?(Uaminifu+Uwezo wake kulipa wateja wake)
Suala la deposits na withdraws nataka nipambane tu kusoma ila km kuna mwenye kujua anaweza toa mawazo ila nataka nitumie mastercard yangu ya NMB
NAJUA KUNA WATAOULIZA KILICHONINYIMA PESA KTK KAMPUNI ZA KIBONGO NINI MPAKA NIKIMBILIE HUKO jibu aina ila najaribu kubadili upepo tu maana game ikikukataa unajipindua kusaka malisho mazuri.

Nategemea kupata mawazo yenu.
Bet365 inakubali Tanzania ila tatizo lipo kwenye kuverify account yaani watakwambia tuma national ID, Bank statment mara passport
Mimi nimekwama kwenye bank statment kila ninayotuma wananiambia hawakubali aina ya statment nilizowatumia
Ubaya huwezi kuwithdraw mpaka ufanikiwe zoezi la verification ila kudeposit utafanikiwa
 
8-06-2019
Tunaanza na mtaji wa Tshs 150,000/=

16:00 Iceland Vs Albania. 1. 1.65. X Tsh 50,000 =82,500

16:00 Croatia Vs Wakes 1. 1.59 X Tsh 50,000=79,500

11:30am Robredo T -Vavassori 1 1.51 X Tsh 50,000=75,500

Mategemeo ni kupata Tshs 237,500
Ambapo faida itakuwa Tshs 87,500
Tukutane baada ya matokeo
Mambo yameenda vizuri kama tulivyotegemea kumbuka tumeanza na Tshs 150,000

Leo hii baada ya matokeo yote tumefikisha Tshs 237,500

Tukutane kesho asubuhi baada ya analysis za mechi zenye possibility kubwa 90% ya kushinda.

Target ni kufikisha angalau Tshs 900,000 Mwezi huu

Kumbuka tumeanza na Tshs 150,000
 
jaman nimeleta mashtaka kuhusu hawa premier bet kuna akaunti moja wameiblock wamegoma ifungua ss nimefungua nyingine zaidi ya mara moja ila nikiweka hela baada ya kushinda siwezi kuitoa ntaweka screenshot chakushangaza hata nikiwa natumia device nyingine wananiblock tena kuna siri gani hapa najua nafanya kosa lakuwa na multiple account nifanyeje ili niendelee kumchinja huyu kanjibai kismat changu kipo premierbet wajameni najua wakamaria ni wema sana
 
dah! ngoja nijiwekeze2 hela ili niweze kupata ya kuchukua smartphone mpya dukani,, maana nikisema nibeti ili niweze kufikisha ya smartphone inapitiliza yote
dah! kanji bay nisubiri nichukue smart uone kichapo chake mbwa wewe
 
jaman nimeleta mashtaka kuhusu hawa premier bet kuna akaunti moja wameiblock wamegoma ifungua ss nimefungua nyingine zaidi ya mara moja ila nikiweka hela baada ya kushinda siwezi kuitoa ntaweka screenshot chakushangaza hata nikiwa natumia device nyingine wananiblock tena kuna siri gani hapa najua nafanya kosa lakuwa na multiple account nifanyeje ili niendelee kumchinja huyu kanjibai kismat changu kipo premierbet wajameni najua wakamaria ni wema sana
Hawa jamaa wana usumbufu sana kwa sasa,Customer care agents hawapokei simu wala kufanyia kazi matatizo ya wateja iwe Fcebook, uwatumie e-mails. Eti wanasema utaweza kutoa pesa ukishinda kuanzia 10,000/= kwenda juu
 
Msaada wakuu. Nimefungua account Premierbet kama wiki moja sasa. Leo nime-win bet lakini najaribu kutoa pesa napata ujumbe huu hapa. mwenye uzoefu na hii kampuni msaada tafadhali

1122114
 
Back
Top Bottom