Hatar fayaleo nmecheza europa match zote 13 nmeweka tren nmemla mhindi,mkeka mmoja niliweka match10 mwingne match 12.....ni mda mref saaaana sjala ma train
Tatzo stake ndogo sasa,moja 5000 nyingne kama 1300.daah sema ndo hvyo,siku ukiweka mzigo unapigwa
Hii wanaita kengewa