MAGO
JF-Expert Member
- Mar 8, 2011
- 2,279
- 3,026
Principle no1 ya kubet ni kujua kwa ufasaha option unayoenda kuweka pesa yako.wakuu game ya paraguay vs quatar nilibet kwa option ya ht/ft(1/2)
matokeo full time walitoka 2:2, ambapo 1st half walitoka 1:0, sec half wakatoka 1:2 na mchezo ukaisha kwa 2:2ft
cha ajabu nimepewa lost, je ni makosa yao ki ufundi au wamenidhurumu au matokeo yako sawa?
mwenye uelewa tafadhali anifafanulie. nimejaribu wapigia betpawa lakini hawapokei sim
ningeunganisha na scrnshot but kila nikipandisha picha inagoma.
HT/FT ni matokeo mpka halftimeHT pamoja na yale ya mwisho wa mchezoFT.. sasa FT ishakuwa 2-2 hiyo draw na ww ulimpa 2 ashinde.
Mkeka umekufa bila hata mjadadala