Siafu na Manga
JF-Expert Member
- Aug 5, 2013
- 2,908
- 8,996
Ni bora ufanye hivyo kuliko kusubiri then wakuharibie wapite na 100K yakoUSHAURI WAKUU.
Wakuu niliweka mzigo sasa kabaki Morocco tu vipi inaweza kulipa au niweke 50000 DRAW na NAMIBIA WIN 20000 ili niwe na uhakika wa faida ya 50000 kwa matokeo yoyote yatakayotokea?.View attachment 1135857View attachment 1135859