Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

oiii wazee kuwithdrawl minimum amount kwa wanaotumia premier bet ni sh ngapi wazee
maana nimeingia leo afu sielewielewi
 
Betpawa nazidi waadabisha
Screenshot_20190624-070210_Chrome.jpeg
Screenshot_20190624-070201_Chrome.jpeg
 
2odds ya 1bet haina 20perc. Mdogomdogo... Hii n Kwa wajanja tu
wataweza gundua
 

Attachments

  • Screenshot_20190624-144741.png
    Screenshot_20190624-144741.png
    32.1 KB · Views: 38
Match hazizidi tano. Over 0.5 na win directly y'all wazi.. Kama Tz na Senegal unaweka uzalendo pemben
leave sasa over 0.5 match y'all Ivory Coast imepewa 1.74
 

Attachments

  • Screenshot_20190624-183501.png
    Screenshot_20190624-183501.png
    111.8 KB · Views: 41
Nawaona 1xbet wakiwa wadhamin wa AFCON na Bendera yetu imeongezeka katika Nchi ambazo 1xbet wamefika so nadhani ni swala la muda tuu na tutapata njia sahii ya kuweka pesa zenu bila bitcoin wala safaricom
hizo ni nchi zinazoshiriki hayo mashindano, mwaka unakaribia kukata sasa toka wameondoa hizo mobile pymt na huenda hawana tena mpango huo
 
Back
Top Bottom