Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

1xbet huwa inakuwepo baadhi ya games.
Hiyo -1 ndio imenichanganya mkuu

1x2 both teams to score maana yake uchangue ama home ashinde au away ashinde na pia draw
Lakini team zote zifungane
Mfano 2-1, 2-4, 1-1
 
Hiyo -1 ndio imenichanganya mkuu

1x2 both teams to score maana yake uchangue ama home ashinde au away ashinde na pia draw
Lakini team zote zifungane
Mfano 2-1, 2-4, 1-1
Nahisi hiyo moja huyo mdau ndo alikuwa ameichagua ili aweze kuulizia swali lake but option yenyewe inasimama km hivyo 1x2 and both teams to score.
 
Hakuna odd za uhakakika hata siku Moja. Futa kabisa hiyo kitu kichwani Mwako La sivyo Utatapeliwa Milele! Wenzio hata odd 2 unazoziita za uhakika zimewashinda yani hata odd 1.2 ya uhakika hakuna Mahali popote Dunia hii! Huu ni Mchezo wa kubahatisha hakuna mwenye uhakika! Kama kungekuwa na mtu ana odd za uhakika aweke pesa mingi awe Bakhresa
Zipo brother ila usiambiwe na mtu itafute mwenyewe hiyo odds ya uhakika.
 
Pole sana mkuu basket sio masaa mawili wanaweza enda hata mawili na nusu.......wanavyosema dakika 10 o 12 means ni muda wa kuplay peke yake...so ikitokea event yoyote muda unasimamishwa pia wana break dakika 15 pia katika hyohyo kota wanapumzika ....
Punguza wenge acha mtero tulia betting sio sehemu ya kuokota hela ovyovyo uvumilivu muhimu
Nawasilisha
ILANI! usijiloge kuweka under kwenye basketball utajuta. ni bora uweke over hainaga presha kuliko under unaweza kufa kwa bp
 
ILANI! usijiloge kuweka under kwenye basketball utajuta. ni bora uweke over hainaga presha kuliko under unaweza kufa kwa bp
Mkuu inategemeana aisee yaani ligi ya kuiogopa kwenye hizo under ni NBA ila hawa wengine sometime kuweka over ni hatari zaidi kuliko under na over unakuta anakupeleka kwenye points za juu wakati odds zake kidogo ukifuata unapasuka mapema.
 
Niaje wakuu..

Hivi betpawa jackpot.
Ukibet ticket nyingi(double chance zikiwa 8 ndani ya team 17 vipi wanaruhusu ...

Maaana nataka nitandike mkeka mazee ni elf 25600 tu alafu dalili ya kiwapiga ipo tu
 
Jombaz anayetumia 1xbet anaweza kuruka na CODES Hizo

Odds 8+
Screenshot_20190629-161707.jpeg
 
Back
Top Bottom