Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

timer 13.00

play single for high odd to be safe
 

Attachments

  • Opera Snapshot_2019-06-28_074219_www.princessbet.co.tz.png
    Opera Snapshot_2019-06-28_074219_www.princessbet.co.tz.png
    14.8 KB · Views: 42
Mkenya kanipa hela ila betpawa natoa haitoki betpawa bhana wajinga kwel.
 
Wanaotumia princes bet pale kwenye system bet mtufahamishe ile single nakadhalika pls
 
Unaweza kutoa bila ya kwenda. shop shop shop
Sorry bro naomba msaada nimebet kwenye galsport nimeshinda sasa wanasema mpaka niende kwenye shop zao ndo nipate hela yangu. Naona msaada kama una uzoefu wa kutoa pesa bila kuwafata maana nipo kijijini sana
 
Wapumbavu hawajui hta kiswahili
M wamenitumia code kila kitu nmejaza vzr wamenikata kwny account ila mpaka sa hz hawajaniwekea changu toka jana asbh.
Wanakutumia kode kwenye email baada. Ya apo ingia apa *148*53#
 
mimi sina hamu na hao princessbet wame nizulumu elfu 10 yangu nilikuwa nimefungua akaunti nika deposit kuja kuangalia acc nakuta 0.00 nikawapigia wakasema hela ipo hewani mpaka leo nikaamua kuachana nao
Mi naona PrincessBet wako vyema na kama uliweka pesa haikuingia wenda hukusajili namba yako kwenye akaunti yako. Hivo wasiliana nao kwa namba yao 0768987888.
Pesa yako haipotei mkuu..
 
Mi naona PrincessBet wako vyema na kama uliweka pesa haikuingia wenda hukusajili namba yako kwenye akaunti yako. Hivo wasiliana nao kwa namba yao 0768987888.
Pesa yako haipotei mkuu..
niliamuwa kuachananao maana ni tangu mwaka jana mwezi wa 3
 
ndio kama unavyo bet mpira lazima uangalie livescore. Kule utaona wamekuwekea graphu kuanzia kwaita ya kwanza mpaka ya 4
Kwenye mpira si vipindi viwili tu na vinafahamika....

Sasa hii kikapu man.. Sometime unabet 1st Q.

Unataka sasa uone inaishia wapi ili ukadilie full gamr itakuwaje...

Maaana ni dk 12-10 kwa quarter moja... Ila unakuta game inachezwa hadi lisaa na nusu... Sasa quarter nne hizi za wapi...

Unaona kabisa dakika 15 zimefika alafu ushakula.. Ukirud unakuta qota yao wao bado... Ndio maaana nataka nione kwenye live betting kwamba now.

Ni 16-37
1st Q au 2nd...

Ili nijue napandanisha vipi... Kama ilivyo live betting footbal.. Unaoneshwa ipo dk ya ngapi game.... Na kipind gan!

Angalia kama hii picha...
Game imeanza 3:30... Alafu hadi iyo 05:00 haijaisha manina.

Yaani ni zaid ya lisaa limoja na nusu.

Nashndwa elewa... Alafu ukichek hapo unaona idad ya magori tu... Hauon dk ya ngapi wala quarter ya ngapi..

Najuaje sasa...
Screenshot_20190628-165741.jpeg
 
Back
Top Bottom