mtafuta-maisha
JF-Expert Member
- Nov 5, 2016
- 1,982
- 2,934
Una shida naohivi huyu muuza tips Pdidy yupo kweli kwenye hili jukwaa au kahamia Facebook?
Una shida naohivi huyu muuza tips Pdidy yupo kweli kwenye hili jukwaa au kahamia Facebook?
ingia kwny accont yako upande wa withdra haf angalia kama kiasi ulicho withdraw ni approved au pending, kama ni pending cancel, ila kama ni approved itabidi uwendelee tu kusubiri maana me mwnyw kiasi nlicho withdra kwa airtel tokea asubuhi hadi sasa sijapata, pia tokea hiyo asubuhi nimeshawithdraw mara 3 na voda na malipo ni harakaWameshakata kwny account shida haijaingia mpaka sasa n kweli natumia Tigo
i
ingia kwny accont yako upande wa withdra haf angalia kama kiasi ulicho withdraw ni approved au pending, kama ni pending cancel, ila kama ni approved itabidi uwendelee tu kusubiri maana me mwnyw kiasi nlicho withdra kwa airtel tokea asubuhi hadi sasa sijapata, pia tokea hiyo asubuhi nimeshawithdraw mara 3 na voda na malipo ni haraka
mkuu, mrejesho wako kuhusu skrill tuna usubiriBila samahani ndugu yangu ktk mapambano,
Kwa mujibu wa maelekezo ya director wetu mwl RCT inawezekana ila mm binafsi bado sijaanza kuitumia kadi yangu ya NMB MASTER CARD ni leo ndo nimeenda bank kui activate na nimeambiwa inashughulikiwa itakuwa tayari baada ya masaa72 so nikianza kuitumia ndo naweza toa ushuhuda kamili.
i
ingia kwny accont yako upande wa withdra haf angalia kama kiasi ulicho withdraw ni approved au pending, kama ni pending cancel, ila kama ni approved itabidi uwendelee tu kusubiri maana me mwnyw kiasi nlicho withdra kwa airtel tokea asubuhi hadi sasa sijapata, pia tokea hiyo asubuhi nimeshawithdraw mara 3 na voda na malipo ni haraka
Sportpesaasubuhi nilihangaika jinsi ya kutoa pesa gal bet maana nilianza kubetia hii kampuni jana. Nikienda sehemu ya kuwithdraw wananitumia code wananiambia niende kwa cashier wao, ila badae ndo nikaja nikaona sehemu walioelekeza kuwithdraw kwa ussd
hata ukipokea kwa laini yako huwa wanawekaga hivohivo shop, kwa maana kampuni inayokulipa M Pesa ni kampuni ambayo kwa inavoonekana ipo ubia na gsb hivo wanaiterm kama shop,Kukosa taarifa sahihi n tatizo nmecheki account statement inaonyesha withdraw shop approved.
Je tatizo sio hapo kwny withdraw shop badala ya SMS?
Mbona kwang inagoma at iyo namb nikipig inakataaSportpesa
hata ukipokea kwa laini yako huwa wanawekaga hivohivo shop, kwa maana kampuni inayokulipa M Pesa ni kampuni ambayo kwa inavoonekana ipo ubia na gsb hivo wanaiterm kama shop,
Wanakata lkn wanakupa bonusImebidi niwachungulie hao jamaa, vipi kuhusu kodi wanakata?
Nami namtafuta ile mbaya!!!yule wa basket mbona kimya
Hawana tofauti na Supabets wazee wa kutoa bonus wana option moja tamu ya magoli ambayo Betpawa wameificha. Tatizo langu mimi ni moja tu, sitaki kukatwa kodi...Wanakata lkn wanakupa bonus
Spot pesa siwawezi kodi yao kubwa
3odds weka figo