kisiki kibichi
JF-Expert Member
- Feb 14, 2019
- 449
- 282
Haswaaaa
Tatizo LA m bongo akliwa kila siku 5000 n kubwa kwake ila yeye kuweka odds zinazomfanya kila siku ale angalau 5000 anaona ndogo.
Kwake nikubwa katika kupoteza kuliko kuingiza
Me nipo parmatch VP aipo iyoobetpawa kuna game 1 basketball wadau changamkien fursa
wanaweka kwa kunyapia nyapiaMe nipo parmatch VP aipo iyoo
Tuwaambie bs tukituma maoni hata watu sita wakua siriasiwanaweka kwa kunyapia nyapia
Bila samahani ndugu yangu ktk mapambano,Samahani mkuu hiyo skrill inaweza kutumia bank ya nmb?
Mkuu hizo multgoals maana yake nn?dah, afadhali
Cameroon mbona alikua na odds chache hata hazifiki 2mimi niliona vi odds vidogo nikampa cameroon direct win alikuwa na 2.36 nimestek 5000
Timu husika(home or away) kupata goli moja au mawili(kwa jinsi nilivyoweka mimi) njee ya hapo umelose.Mkuu hizo multgoals maana yake nn?
Cameroon mbona alikua na odds chache hata hazifiki 2
Mfano meridian alikua na 1.45 sasa sielewi izo 2.36 direct win umezitoa wapi?
Mkuu maana ya multi goals ni nn?dah, afadhali
Mi amenielekezs ila kiukweli nimeona nyotanyota tu na option yenyewe nimeipiga ban kwa kweli.Mkuu maana ya multi goals ni nn?
Mi amenielekezs ila kiukweli nimeona nyotanyota tu na option yenyewe nimeipiga ban kwa kweli.
Timu husika(home or away) kupata goli moja au mawili(kwa jinsi nilivyoweka mimi) njee ya hapo umelose.
pia kuna home 1-3 au away 1-3 ikimaanisha goli1,2 au 3 njee ya hapo umelose