ALL IN ONE
JF-Expert Member
- Oct 22, 2014
- 272
- 190
NipoSoma hiyoo!!!
Upo ndugu
Nipo
Ulaji huo hapo juu.Unakula pekeako huko tugawane tips hizo
WOOOOON.....Tukutane kwa wakalaCameroon Over 0.5 weka nyumba.
Mkeka betNi webiste Gan ya bongo inaweka mech nyiingi jmn msaaada,
Nlitaka kuprace 1 and under 1.5 ikasumbuaWOOOOON.....Tukutane kwa wakala
ALL IN ONE ngapi hukooo?
Asante namsubiri Ghana na Benin, #AfconNiZamuYetuKupataMafaoNlitaka kuprace 1 and under 1.5 ikasumbua
Hongera
Hongera mkuu, fursa za wazi sio za kuziachia.mimi niliona vi odds vidogo nikampa cameroon direct win alikuwa na 2.36 nimestek 5000
MapemaTuwale wa direct win kameroom Naona kama tukutane kwa wakalaau vipi mazee??
KweliUnachotakiwa kujua na kama umestudy AFCON mechi karibia zote ni Under 2.5 lakini pia mechi zote zilizochezwa mpaka sasa hazikosi angalau goli moja.Hii ni point muhimu kwa muwekezaji.