danmarc
JF-Expert Member
- Feb 25, 2012
- 575
- 146
Habari nime withdraw pesa toka bet365 kuja visa card yangu ya BANC ABC tangu tarehe 21 lakini haijaingia kwenye akaunti kama kuna aliyewahi pata tatizo hili anisaidie jinsi ya kutatua pesa ya Kwanza niliwithdraw Bila shida nika pata ndani ya siku mbili hii inachukua zaidi ya wiki sasa