kisiki kibichi
JF-Expert Member
- Feb 14, 2019
- 449
- 282
Hivi ukiondoa 1XBet ipi Local kampuni iliyo poa
Umeeleza vizuri!!
Umeeleza vizuri!!
ivi galsport wana app or apk..na kutoa hela vip..?philadelphia usije ukaniangushaView attachment 1139475
mkuu unakwama wapi? piga *148*53# kwenye laini yoyote chagua withdraw, utaweka id yako ya gal bet then utakuja utaweka code walizokutumia kwa email, mpaka hapo unakuwa tayar umeshawithdraw kwahyo unaisubiri M Pesa ua kama ni airtel unaisubiri airtel money, yaani hata dakika haishi inakuwa tayar imefikaUkishadraw unahitoaje????? Through nn?
hawana app, jinsi ya kutoa nimeeleza hapo juuivi galsport wana app or apk..na kutoa hela vip..?
Thanksmkuu unakwama wapi? piga *148*53# kwenye laini yoyote chagua withdraw, utaweka id yako ya gal bet then utakuja utaweka code walizokutumia kwa email, mpaka hapo unakuwa tayar umeshawithdraw kwahyo unaisubiri M Pesa ua kama ni airtel unaisubiri airtel money, yaani hata dakika haishi inakuwa tayar imefika
mkuu unakwama wapi? piga *148*53# kwenye laini yoyote chagua withdraw, utaweka id yako ya gal bet then utakuja utaweka code walizokutumia kwa email, mpaka hapo unakuwa tayar umeshawithdraw kwahyo unaisubiri M Pesa ua kama ni airtel unaisubiri airtel money, yaani hata dakika haishi inakuwa tayar imefika
kiwango cha chini kutoa ni 500Ngoja nijaribu...kiwango cha chini kabisa kutoa ni sh nap? Je wana App?
kwa upande wangu ni meridianbet,betpawa na hii gal sport betting. Pia hata playmaster na premierbet na sikia ni nzr ila sijawahi kuzibetiaPlz..... Kwa betting kampuni za Ndani.... Ipi iko poa Sana
kwa upande wangu ni meridianbet,betpawa na hii gal sport betting. Pia hata playmaster na premierbet na sikia ni nzr ila sijawahi kuzibetia
pia na parimatch. nikimaanisha kampuni zinazo ruhu kuweka na kutoa kwa mitandao yetu ya simu
Nzurikiwango cha chini kutoa ni 500
Nimejaribu kupitia maelezo ya hii option (mult goals) lakini sijaielewa vizuri.. Nakuomba unieleweshe kidogo hasa kwa kampuni hii unayotumia.philadelphia usije ukaniangushaView attachment 1139475
Poa mkuu.. Asante.Ingekuwa lost
Hii option ya mult goals kusema ukweli nimeipenda, nitaanza kuitumia hasa kwenye Afcon.Kwa mtazamo wangu kampun ya kibongo nzuri ni gal sport tu zingine majanga plus matatizo mengi
Imebidi niwachungulie hao jamaa, vipi kuhusu kodi wanakata?Paymaster iko poa sana options kibao
Kinachotukwamisha ni tamaa ya kutaka million kwa jero