libeva
JF-Expert Member
- Mar 25, 2015
- 4,478
- 3,647
Umempaje mwarabu?Kama hiyo nilishamalizana na uganda mapema tu mm nilitaka apate goli moja.
Hapa namsubiria Egypt.
Umempaje mwarabu?Kama hiyo nilishamalizana na uganda mapema tu mm nilitaka apate goli moja.
Hapa namsubiria Egypt.
Kwa wale wenzangu ambao mko mbali na TV cheki www.hesgoal.com utacheki game kwa lugha uitakayo..
#AfconNiZamuYetuKupataMafao
ndio kama unavyo bet mpira lazima uangalie livescore. Kule utaona wamekuwekea graphu kuanzia kwaita ya kwanza mpaka ya 4Kwa iyo niwe nabet alafu naangalia iyo link...
Sasa ntakuwa najuaje kama hapa ni ukomo au lah.
WOOOON TUKUTANE KWA WAKALAEgypt over 0.5, tukutane baadaye.
Nakungojea kakaKesho kutwa ligi za wadada kule basketball tunakiwasha
dah, afadhali
Mult maana yake ManyMkuu maana ya multi goals ni nn?
philadelphia usije ukaniangushaView attachment 1139475
unawithdraw kawaidaMan ukishinda pesa Unaipataje??????
Hawa si Gal bet kakaunawithdraw kawaida
unawithdraw kawaida
WOOOON TUKUTANE KWA WAKALA
ndiyo hawa ni gal bet, kuna njia rahisi ya kuwithdraw bila hata kwenda kwenye maduka yao na hata leo nimewithdraw asubuhi.Si mpaka uende Ofisini kwao
Umeeleza vizuri!!ndiyo hawa ni gal bet, kuna njia rahisi ya kuwithdraw bila hata kwenda kwenye maduka yao na hata leo nimewithdraw asubuhi. Ili kuwithdraw unaenda sehemu ya kuwithdraw kwenye website yao haf wao watakutumia code kwenye email yako. Baada ya kupata code utapiga *148*53# then utachagua withdraw, utaweka acc id yako then unamaliza na kuweka code walizokutumia, Pesa uliyowithdraw moja kwa moja inaingia kwenye laini yako
Umeeleza vizuri!!
Umeeleza vizuri!!
Ukishadraw unahitoaje????? Through nn?asubuhi nilihangaika jinsi ya kutoa pesa gal bet maana nilianza kubetia hii kampuni jana. Nikienda sehemu ya kuwithdraw wananitumia code wananiambia niende kwa cashier wao, ila badae ndo nikaja nikaona sehemu walioelekeza kuwithdraw kwa ussd